Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Kumbe we hujui namna kura zinavyopigwa na mgawanyo wa viti ulivyo. Hata wapate kura moja moja wameshapita
Bunge lililopita chadema hawakuwa na mbunge hata mmoja bunge la afrika mashariki unadhani nini kilisababisha wakati walikuwa na wagombea
 
Natamani ashinde kitila na wenje...ccm angalieni akili na uwezo wa wagombea.. msichague kwa kukomoana.
Sasa wenje ana uwezo gan huyo mzee wa panic na fujo zake za kimachinga hapa mwanza hapati kitu aende rorya akalime ndo maana hapa town tulimutosa
 
Kumbo yuko makin sana yaan akishinda itakuwa bomba sana
 
Sio kuhofia hawana siasa safi wana siasa chafu Nyerere alishauri Ili nchi iendelee inahitaji siasa safi.Ndio maana wagombea Chadema hatapita hata mmoja watauza sura wakati wa kujieleza bungeni halafu wataondoka na sura zao kurudi nazo Chadema
naona chadema inakunyima usingiz aisee..ila unachosahau kwa kadri unavompiga vita adui yko ndo unazid kumpaisha. by the way hta wakipita wa cuf au ACT still ni wapinzani na hta hivyo wanafaid wao na familia zao hatuna sabanu ya kutoana macho humu kwa jambo ambalo halikuongezei.
 
Ni Kawaida CCM kubadilisha kanuni kila wanaona wamekaliwa koonI!!

Siyo jambo la ajabu ..... because it's all about themselves!! CCM first.......!!
 
Chadema hata wangemuweka malaika bado ccm wasingewapigia kura , ni mambo ya upinzani wa jadi wala hawana kosa.

Ni sawa kuwe na uchaguzi wa Tff halafu mgombea ni wa Yanga na Majimaji, ni wazi Simba watampigia mgombea wa Majimaji ili tu kuwapa kiroho bapa
ni kwel lakin ww unadhani ina tija kwa taifa? wakat mwingine tutangulize maslah ya taifa mbele. mi nadhani tungechagua wenye uwezo wa kuitetea nchi bila kuangalia vyama wanavyotokea. ikumbukwe wanaenda kuwakilisha nchi sio vyama vyao! so kama wawakilish bora ni kutoka ACT au CUF wapewe. lakni tusiwape tuu ilimrad tunaikomoa chadema. kama tutafanya hivyo hatuwez kufika mbali.
 
Sasa wenje ana uwezo gan huyo mzee wa panic na fujo zake za kimachinga hapa mwanza hapati kitu aende rorya akalime ndo maana hapa town tulimutosa
Kwa hiyo huyu ndio ana uwezo.!??
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-21-15-03-49.png
    Screenshot_2017-03-21-15-03-49.png
    620.2 KB · Views: 34
ni kwel lakin ww unadhani ina tija kwa taifa? wakat mwingine tutangulize maslah ya taifa mbele. mi nadhani tungechagua wenye uwezo wa kuitetea nchi bila kuangalia vyama wanavyotokea. ikumbukwe wanaenda kuwakilisha nchi sio vyama vyao! so kama wawakilish bora ni kutoka ACT au CUF wapewe. lakni tusiwape tuu ilimrad tunaikomoa chadema. kama tutafanya hivyo hatuwez kufika mbali.
Chadema hawaweki maslahi ya taifa mbele wao ni kubeza tu kila kinachofanywa na serikali sasa wana faida gani kuwapeleka bunge la afrika mashariki wataishia tu kubeza to. CUF wana uzoefu wa kutetea maslahi ya kitaifa kwa kuwa ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar angalau wanajua nini maana ya kusimamia maslahi ya taifa na kuwa kitu kimoja na serikali kwenye mambo ya kitaifa. chadema hata sherehe za uhuru tu hawakanyagi uwanjani! Watu gani hao
 
waterloo kichwani utakua na mbegu tu na majimaji mengi kama watermelon

Muwe mna'google' vitu msivyojua kabla ya kuandika tungo kwa lugha 'vibwengo'!
NB: Waterloo ni mahala ambapo Napoleon alipata kipigo kitakatifu kilichohitimisha enzi zake!
 
Bo

Kwa Mkumbo yes, na kama ni lazima wa pili atoke cdm basi angalau Masha lakini siyo Wenje, hana analojua zaidi ya kupiga makelele na after all ukimpa Wenje itakuwa ni sawa na kuongeza uwakilishi kwa Kenya.
Mkumbo yes kwa sababu ni mccm mwenzako?..wenje ana uwezo wa kupambanua mambo kwa ufasaha halafu sio muoga anafaa..Masha asubiri mwakani
 
Bunge la East Africa lina taratibu za kipuuzi sana,yaani wawakilishi wa chama A wanapigiwa kura na wabunge wa chama B.Ni undunya wa kiwango cha lami ya Bagamoyo Msata

Kwani kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wabunge wake wamepatikana kwa uchaguzi unaohusisha wanachama wa vyama wanavyotoka tu?
 
chadema hawahitaji wabunge wakupewa na ccm, hata miaka iliyo pita chadema haikuwa na wabunge EAC. hilo linajulikana kabisa kwamba ccm hawawezi kuwapa kura chadema hata kwa hongo, pia Mkumbo nani asiye mjua kwamba ni kibaraka wa ccm anayetunzwa kama lipumba, madudu anayoyafanya angekua ameshavfukuzwa pale udsm muda mrefu.

Adui wa ccm ni chadema pekee yake
Ati CDM hawatarajii kura za CCM wakati huo huo CCM mjengoni wako zaidi ya 70%. Kumbe mmepeleka wagombea wa nini huku huku hamtaki kura za walio wengi?. Labda kama inawaongezea CV kwa kshindwa.
 
Kuna mtu katika moja ya kambi za CUF alionekana Dodoma wakati wa mkutano mkuu wa CCM akichombeza chombeza upendeleo fulani, ikiwemo issue hii ya wabunge wa Afrika Mashariki. Kweli CCM majina tayari yapo mfukoni
 
Ninachoju vysma vinawskilishwa kuendana na representation yao katika bunge la nchi husika. Kila chama kina asilimia yake. Otherwise ccm hao si wamewapataje? Katika bunge kila chama kinachukuliwa kama chama. Sheria ipo wazi kabisa.

INABIDI HIYO SHERIA IANDIKWE UPYA MAANA NAONA IMEACHA MWANYA CHONGANISHI!
NB: Kipengele cha uzito wa chama bungeni kisipoangaliwa kwa umakini unaotakiwa basi chama kinachoongoza kwa uzito kinaweza komba viti vyote!
 
Back
Top Bottom