Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Ati CDM hawatarajii kura za CCM wakati huo huo CCM mjengoni wako zaidi ya 70%. Kumbe mmepeleka wagombea wa nini huku huku hamtaki kura za walio wengi?. Labda kama inawaongezea CV kwa kshindwa.
uliona lini chadema inajipendekeza kwa ccm, chadema sio ACT wazalendo, tumepeleka majina kwa sababu chadema inahaki ya kushiriki uchaguzi. lakini kamwe hatuwezi kujikomba kwa maccm.
 
uliona lini chadema inajipendekeza kwa ccm, chadema sio ACT wazalendo, tumepeleka majina kwa sababu chadema inahaki ya kushiriki uchaguzi. lakini kamwe hatuwezi kujikomba kwa maccm.
Hakuna namna mtajikomba tu
 
Professor Mkumbo hawezi pata hata Chadema hawapati, ila kambi ya yule wa CUF aliyeonekana Dodoma itafanikiwa
 
yeyote atakayeshinda sawa tu ila kwangu ningependa msando na wenje wapenye.....
 
Kama chadema,itawakilishwa,na mbunge mmoja,na ccm iwakilishwe,na wabunge sita,haya nayo ni maajabu mengine ya dunia
 
Sijakuelewa bado, hoja iko wapi?. Kwa hiyo determinant ni vyama na siyo uwezo wa mtu au ikoje. Mbona unakampeni bila kujua kwani mkumbo ni wa ccm?. Au ikoje.
Daaaah, nakuja.
 
Ni Kawaida CCM kubadilisha kanuni kila wanaona wamekaliwa koonI!!

Siyo jambo la ajabu ..... because it's all about themselves!! CCM first.......!!

Usiseme hivo wewee, sema ni kawaida ya wanasheria kucheza na mistari kwa maslahi yao, yaani mtu anaweza kukutukana dhahir kabisa halafu akasema jina la iliyemtukana linaweza likawa la mtu yeyote Tanzania na akashinda kesi!
 
chadema hawahitaji wabunge wakupewa na ccm, hata miaka iliyo pita chadema haikuwa na wabunge EAC. hilo linajulikana kabisa kwamba ccm hawawezi kuwapa kura chadema hata kwa hongo, pia Mkumbo nani asiye mjua kwamba ni kibaraka wa ccm anayetunzwa kama lipumba, madudu anayoyafanya angekua ameshavfukuzwa pale udsm muda mrefu.

Adui wa ccm ni chadema pekee yake
Sasa kama chadema hawahitaji wabunge wa kupewa na ccm, sasa hayo majina ya Wenje na Masha walikuwa wanayapeleka ya nini kwenye bunge ambalo wenye uamuzi ni ccm?
 
Ili kuwa fair vyama vikubwa vya upinzani wangepata nafasi moja moja yaani chadema 1 na cuf original 1. Nadhani nafasi zinatolewa kwa uwiano Wa idadi ya wabunge!
 
Ha Ha Ha watapitia dirisha gani kushinda bungeni kwenye kura? CCM tunawAsubiri tuwaonyeshe cha mtema kuni si kutwa huwa wanatutukana huyo Masha na Wenje. Watatukoma kwenye sanduku la kura.
mlisema hivyo hivyo kwa lisu kuwa mtamdhibiti but mwishoni wote tunajua mlichovuna..... kma mnafkiri mnapiga kura kwa kukomoana na kupitisha watu dhaifu wasio na uzoefu na mabunge eti kisa tu chadema wakose mnasahau kule tunaweka maslahi ya taifa mbele sio vyama ssa nyie mmejaza watoto wa viongozi afu still mnataka kukomoa upinzani hasa nani atatetea maslahi ya watz huko EALA!!!! hapo hamukomoi mbowe ila mnajikomoa na taifa zima na kwa staili tutaendelea kuburuzwa na wanyarwanda huko EALA
 
Ok sawa ccm inawagombea wasio jielewa,, lakini Je Wenje na Masha wanajielewa? Hapa si afadhali ya Dr Kitila Mkumbo wa Act?
ila hao wana uzoefu wa baraza la mawaziri na mwingine bunge ssa ndio maana mie binafsi naona wanafaaa ssa kitila is briliant kichwani sema nlitamani bunge la EALA liende na watu wenye uzoefu na mabunge ili wazoee haraka na kuonyesha uzoefu ssa kitila ndo kwanza aanze kuzoea mikanuni ya bunge na jinsi linavyoendeshwa huoni itapunguza ufanisi wa wabunge wa EALA.....
 
Tukiacha porojo ACT wameweka watu makin
Wana sifa zote za kutuwakilis9ha
Kama isingekuwa kuleta picha mbaya ya ukanda mama Mghirwa Anna angefaa pia
mkuu uzoefu pia muhim..... unless hatutaki mabadiliko EALA mnyaa na kina masha naona wanafaaa zaidi sababu ya advantage ta experience
 
Back
Top Bottom