Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Mnadhani mnaikomoa chadema.
kama chama cha upinzani tujaribu kuwa watu wa mawazo mbadala, sio kupinga tu na kukubali hoja za mwenyekiti, hapo ndo huwa pananiuzi mimi kuwa mpinzani TZ

ACT wameweka wagombea makini sana katika nafasi hizo mbili kuliko vyama vyote, si fisiem wala chadema na hata CUF zenye wagombea makini kama wao

mwangalie wakili Albert Msando huyu ni level za kina tundu lissu
prof mkumbo huyu ni mtu mwingine smart sana
 
Hivi kuna mbunge yeyote anayetokea CCM akawa na tija kwa anaowawakilisha? Si ndio hawa wanaoitikia "Ndiyoooooo" kwenye upitishaji wa sheria za usafirishaji mchanga wa madini nje ya nchi halafu leo serikali yao ya kidikteta inakuja kuzuia makontena ya huo mchanga bandarini?
Povu
 
kama chama cha upinzani tujaribu kuwa watu wa mawazo mbadala, sio kupinga tu na kukubali hoja za mwenyekiti, hapo ndo huwa pananiuzi mimi kuwa mpinzani TZ

ACT wameweka wagombea makini sana katika nafasi hizo mbili kuliko vyama vyote, si fisiem wala chadema na hata CUF zenye wagombea makini kama wao

mwangalie wakili Albert Msando huyu ni level za kina tundu lissu
prof mkumbo huyu ni mtu mwingine smart sana

Chadema hata wangemuweka malaika bado ccm wasingewapigia kura , ni mambo ya upinzani wa jadi wala hawana kosa.

Ni sawa kuwe na uchaguzi wa Tff halafu mgombea ni wa Yanga na Majimaji, ni wazi Simba watampigia mgombea wa Majimaji ili tu kuwapa kiroho bapa
 
Kanuni zinazoongoza mabunge ya Afrika Mashariki inasema wabunge watakaowakilisha nchi zao katika bunge la Afrika Mashariki watatoka katika makundi mawili, chama tawala (chama dola) na vyama vya upinzani.

Kutokana na Zitto Mwami na Naibu Spika kusoma kanuni vyema sasa wagombea wote wa upinzani watakuwa katika kapu moja. Tayari Chadema imewapeleka Lau Masha na Wenje. ACT inawapeleka Prof. Kitila Mkumbo na Wakili Albet Msando. NCCR imempeleka Mama Ndurikio. CUF makundi yote ya Maalif na Lipumba wamepeleka wagombea...

Kwa uhasama wa kivyama kati ya CCM na CHADEMA kuna kila dalili Prof. Mkumbo na Msando wakashinda...

Note: Hukumu ya Komu haiko applicable katika uchaguzi huu

ed0812c387bc444eae505e8b098c3373.jpg
CCM ina nafasi sita Chadema mbili kulingana na idadi ya wabunge. Vinginevyo CCM nafasi sita wamezipataje?

Hili kuishia mahakamani huku Arusha
 
CHADEMA walikosea sana kuzani kwamba wateule wao wangepita bila kupingwa. Kwani hata kwenye utaratibu wa awali uliokuwa unashabikiwa na mwanasheria wao, bado bunge lingeweza kuamua kuwapigia kura ya ndiyo au hapana. Hivyo bado wangeweza kukosa wote wawili kwa kupigiwa kura za hapana na nafasi hizo kutangazwa upya.

Zitto wataendelea kumchukia maana hapa amewasaliti tena chadema/ ukawa. Amerudisha hasira zao kwake ambazo zilikuwa zimekwisha.

Prof Mkumbo wa ACT, Mh Abert Msando wa ACT na Mh. Mnyaa wa CUF(Lipumba) wana uwezekano mkubwa kushinda uchaguzi huo. Waamuzi ni wabunge wa CCM maana wako 2/3 ya wabunge wote.
Una uhakika na hiyo theluthi mbili na ccm kura yao haigawanyika
 
Kanuni zinazoongoza mabunge ya Afrika Mashariki inasema wabunge watakaowakilisha nchi zao katika bunge la Afrika Mashariki watatoka katika makundi mawili, chama tawala (chama dola) na vyama vya upinzani.

Kutokana na Zitto Mwami na Naibu Spika kusoma kanuni vyema sasa wagombea wote wa upinzani watakuwa katika kapu moja. Tayari Chadema imewapeleka Lau Masha na Wenje. ACT inawapeleka Prof. Kitila Mkumbo na Wakili Albet Msando. NCCR imempeleka Mama Ndurikio. CUF makundi yote ya Maalif na Lipumba wamepeleka wagombea...

Kwa uhasama wa kivyama kati ya CCM na CHADEMA kuna kila dalili Prof. Mkumbo na Msando wakashinda...

Note: Hukumu ya Komu haiko applicable katika uchaguzi huu

ed0812c387bc444eae505e8b098c3373.jpg
Nape Baada ya kuchinjiwa Baharin na ile Bastola umekuwa mtu wa kuweeseka sana Mkuu
 
kama chama cha upinzani tujaribu kuwa watu wa mawazo mbadala, sio kupinga tu na kukubali hoja za mwenyekiti, hapo ndo huwa pananiuzi mimi kuwa mpinzani TZ

ACT wameweka wagombea makini sana katika nafasi hizo mbili kuliko vyama vyote, si fisiem wala chadema na hata CUF zenye wagombea makini kama wao

mwangalie wakili Albert Msando huyu ni level za kina tundu lissu
prof mkumbo huyu ni mtu mwingine smart sana
Kitiila Mkumbo ana price tag.
 
Back
Top Bottom