Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Bunge la East Africa lina taratibu za kipuuzi sana,yaani wawakilishi wa chama A wanapigiwa kura na wabunge wa chama B.Ni undunya wa kiwango cha lami ya Bagamoyo Msata
 
Ninachoju vysma vinawskilishwa kuendana na representation yao katika bunge la nchi husika. Kila chama kina asilimia yake. Otherwise ccm hao si wamewapataje? Katika bunge kila chama kinachukuliwa kama chama. Sheria ipo wazi kabisa.
 
Kuna hatari mbele ya safari. Siamini kama Prof Kitila ataangushwa na mpiga zumari Ezekiel Wenje
 
Hata hao ACT hawakuchanga karata yao vizur mgombea pekee ambaye angeshinda kiurahis ni Anna Mgwira sasa cjui ni ushkaji ama vp
 
Mleta uzi anadhihirisha ni kwa jinsi gani upinzani ni dhaifu na ccm dhohofu itakavozidi kupeta..

[HASHTAG]#mytakes[/HASHTAG]
Ubunge wa EALA tungepeleka wenye uwezo na uzoefu bila kujali itikadi..
Tukipeleka vilaza, mabashite na vihiyo itakula kwetu..!
sasa wewe kipanga mbona hata form hakuchukua?
 
Kanuni zinazoongoza mabunge ya Afrika Mashariki inasema wabunge watakaowakilisha nchi zao katika bunge la Afrika Mashariki watatoka katika makundi mawili, chama tawala (chama dola) na vyama vya upinzani.

Kutokana na Zitto Mwami na Naibu Spika kusoma kanuni vyema sasa wagombea wote wa upinzani watakuwa katika kapu moja. Tayari Chadema imewapeleka Lau Masha na Wenje. ACT inawapeleka Prof. Kitila Mkumbo na Wakili Albet Msando. NCCR imempeleka Mama Ndurikio. CUF makundi yote ya Maalif na Lipumba wamepeleka wagombea...

Kwa uhasama wa kivyama kati ya CCM na CHADEMA kuna kila dalili Prof. Mkumbo na Msando wakashinda...

Note: Hukumu ya Komu haiko applicable katika uchaguzi huu

ed0812c387bc444eae505e8b098c3373.jpg
Hamna shida si wote upinzani its still ok whatsoever
 
Umesahau CDM walifungua kesi mahakama ya Afrika mashariki dhidi ya uchaguzi wa wabunge wanaomaliza mda wao na wakashinda? Lazima wapate mwakilishi this time round
 
Back
Top Bottom