Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Hukumu ya mahakama umeisikia lakini ?
Hiyo siyo hukumu. Hukumu itatolewa kwenye kesi ya msingi. This one is just a temporary court injunction. Itadumu muda mfupi tu na kwa vyo vyote vile si zaidi ya siku 14. Baada ya hapo ruzuku itapelekwa kwa yule anayetambuliwa kwa mjibu wa sheria za nchi. Uwezekano wa mtu huyo kuwa Seif ni mdogo sana hata akiweka mawakili mia. Kitendo cha kuweka mawakili tisa kinaashiria maji yamemfika shingoni.
 
Hivi kuna mbunge yeyote anayetokea CCM akawa na tija kwa anaowawakilisha? Si ndio hawa wanaoitikia "Ndiyoooooo" kwenye upitishaji wa sheria za usafirishaji mchanga wa madini nje ya nchi halafu leo serikali yao ya kidikteta inakuja kuzuia makontena ya huo mchanga bandarini?
Kwani Lowasa alikuwa ni mbunge wa miaka mingi kwa tiketi ya chama gani?
 
Dada yake na james mbatia mwenyekiti wa NCCR
Unaona sasa demokrasia ilivyo ndani ya upinzani? Wangepewa dola ingekuwaje? Baraza la mawaziri lingejaa dada, kaka, wajomba, shangazi, wake, waume, shemeji, baba, mama, bibi na babu za viongozi wakuu wa chama tawala/ serikali. Vivyo hivyo ndivyo ingalikuwa kwa mabalozi, wakuu wa mikoa/ wilaya, wakurugenzi wa taasisi za umma, makatibu wakuu wa wizara, mikoa, wilaya na kadhalika. Hii nadhani inaitwa nepotism, kitu ambacho ndiyo kibaya kuliko vyote katika utawala duniani. Ni kibaya kuliko ukabila, udini na udikiteta. Yaani ni hatari kuliko danger yenyewe!!! Ni bora ukateuwa michepuko kuliko kufanya nepotism!!!
 
Kanuni zinazoongoza mabunge ya Afrika Mashariki inasema wabunge watakaowakilisha nchi zao katika bunge la Afrika Mashariki watatoka katika makundi mawili, chama tawala (chama dola) na vyama vya upinzani.

Kutokana na Zitto Mwami na Naibu Spika kusoma kanuni vyema sasa wagombea wote wa upinzani watakuwa katika kapu moja. Tayari Chadema imewapeleka Lau Masha na Wenje. ACT inawapeleka Prof. Kitila Mkumbo na Wakili Albet Msando. NCCR imempeleka Mama Ndurikio. CUF makundi yote ya Maalif na Lipumba wamepeleka wagombea...

Kwa uhasama wa kivyama kati ya CCM na CHADEMA kuna kila dalili Prof. Mkumbo na Msando wakashinda...

Note: Hukumu ya Komu haiko applicable katika uchaguzi huu

ed0812c387bc444eae505e8b098c3373.jpg
Ki msingi Masha na Wenje ni wabunge wa EALA wanaongoja kuapishwa tu
 
Tukiacha porojo ACT wameweka watu makin
Wana sifa zote za kutuwakilis9ha
Kama isingekuwa kuleta picha mbaya ya ukanda mama Mghirwa Anna angefaa pia
 
Tukiacha porojo ACT wameweka watu makin
Wana sifa zote za kutuwakilisha
Kama isingekuwa kuleta picha mbaya ya ukanda mama Mghirwa Anna angefaa pia
 
Kitilauyu myiramba hakuna kitu..nafuu aende kufundisha chuo..hana tofauti na Zitto
 
hakuna mbunge wa ccm atayetoa kura kwa chadema. mwanaccm ni bora kura yake ampe cuf au ACT lakini si chadema. Hapo Mnyaa atapita kwa ajiri ya kumlipa fadhila Lipumba
 
CHADEMA walikosea sana kuzani kwamba wateule wao wangepita bila kupingwa. Kwani hata kwenye utaratibu wa awali uliokuwa unashabikiwa na mwanasheria wao, bado bunge lingeweza kuamua kuwapigia kura ya ndiyo au hapana. Hivyo bado wangeweza kukosa wote wawili kwa kupigiwa kura za hapana na nafasi hizo kutangazwa upya.

Zitto wataendelea kumchukia maana hapa amewasaliti tena chadema/ ukawa. Amerudisha hasira zao kwake ambazo zilikuwa zimekwisha.

Prof Mkumbo wa ACT, Mh Abert Msando wa ACT na Mh. Mnyaa wa CUF(Lipumba) wana uwezekano mkubwa kushinda uchaguzi huo. Waamuzi ni wabunge wa CCM maana wako 2/3 ya wabunge wote.
chadema hawahitaji wabunge wakupewa na ccm, hata miaka iliyo pita chadema haikuwa na wabunge EAC. hilo linajulikana kabisa kwamba ccm hawawezi kuwapa kura chadema hata kwa hongo, pia Mkumbo nani asiye mjua kwamba ni kibaraka wa ccm anayetunzwa kama lipumba, madudu anayoyafanya angekua ameshavfukuzwa pale udsm muda mrefu.

Adui wa ccm ni chadema pekee yake
 
Kwikwikwikwikwi Wenje kwisha kabisa. Rudi kulima nyanya huko. Masha naye kwaheri, ulitaka kumwangusha Ngereja sasa hivi ni zamu yake kukupiga za uso.
 
Ki msingi Masha na Wenje ni wabunge wa EALA wanaongoja kuapishwa tu
Ha Ha Ha watapitia dirisha gani kushinda bungeni kwenye kura? CCM tunawAsubiri tuwaonyeshe cha mtema kuni si kutwa huwa wanatutukana huyo Masha na Wenje. Watatukoma kwenye sanduku la kura.
 
Vyama vya upinzani nawapenda kwa kuwa na wasomi tena wanaojielewa
 
Ha Ha Ha watapitia dirisha gani kushinda bungeni kwenye kura? CCM tunawAsubiri tuwaonyeshe cha mtema kuni si kutwa huwa wanatutukana huyo Masha na Wenje. Watatukoma kwenye sanduku la kura.
Kumbe we hujui namna kura zinavyopigwa na mgawanyo wa viti ulivyo. Hata wapate kura moja moja wameshapita
 
Back
Top Bottom