Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Mko tayari kupigia mbuzi uwakikishi EAC Kwa vile anafugwa na kada wenu na kumuacha MTU atayeweza kuitetea nchi kwa uhakika
mkuu ndo hata mmi nawashangaa ssa wanafkiri wanamkomoa mbowe au lowasa kumbe wanalikomoa TAIFA!!!
 
Kuna ufafanuzi uliotolewa na spika. Wabunga watapatikana kwa kuzingatia uwiano wao ndani ya Bunge la JMT. CCM 6, CDM 2, CUF 1.
 
hivi kupigania haki ni mpaka ulale rumande kumbe,kweli chadema kumejaa mizoga?
nmetoa instance shida sio kulala rumande shida ni ile sababu inayokufanya ulale rumande hao kina wenje kipindi wanawapa elimu watu khusu katiba mpya walikula virungu hku kitila yye anakunywa juisi tu pale merrybrown..... hta kipindi wanatetea haki za wafanyabiashara kule mwanza na pia kupeleka elimu ya uraia kule ukerewe wenje alikatwa mapanga ssa mtu ambaye anakuwa mzalendo sio kwa maneno bali vitendo na kwa vitendo binafsi namuona wenje ni mzalendo maana alikuwa tayari kufa akipigania kile anachokamini sio huyo kitila wenu ambaye alikuwa tayari kuwafanyia kazi wanaccm ilihali akiwa mpinzani afu leo hii mnamuona mzalendo!??

Kipindi kile anataka kutimuliwa UDSM alikikana chadema kma angekuwa mzalendo angekubali kusimamia ukweli kma mwenzake julius aliyetimuliwa kufundisha kisa tu kuwa kiongozi wa BAVICHA!!!!

UZALENDO UNAPIMWA KWA VITENDO SIO MANENO
 
Mkuu ni hali halisi.Wengi tuliyabashiri hayo mapema tu kuwa chadema hatopata mbunge.Hivyo viti viwili aidha vyote vitakwenda ACT-Wazlando au watagawana na mtu wa Cuf Lipumba.
Kibaya zaidi Chadema hawakuzingatia gender balance,wala muungano.Basi hata kama ni utanganyika kulikuwa na haja gani ya kuteua watu wawili kutoka jimbo moja?
mkuu uliangalia vigezo vya kwanni waliwapeleka hao wawili au wwe unataka tu jinsia na zanzibar ndio uone kuna efficiency!!!! ni heri ungeuliza kwenye preas release ya mnyika kuwa ilikuaje akachukuliwa wenje na masha na sio mtu mwingine yoyote hapo utapata majibu ssa sio kuleta assumptions zako hapa yaani nafasi mbili ulitaka considerations zote hizo ziwezekane !!! yaani nafasi mbili jinsia tofauti kanda tofauti bara na visiwani sijui muislam na mkristo !!!! r u serious????

Hao wamewekwa hapo kwa ufanisi wao coz masha anauzoefu wa uwaziri na ubunge pia mwanasheria mahiri sana also wenje ni mpambanaji na msomi pia ambaye anaweza wakilisha sauti za vjana wa kitanzania ssa sioni ubaya kma vigezo wanavyo kwanni wasichaguliwe maana utendaji kazi hauangalii dini jinsia ukanda ukabila n.k
 
Chadema kupata wabunge wawili sio hisani ya wana ccm,ni maamuzi ya wananchi walioamua toko mwaka 2015 kwenye boksi la kura
 
Cuf, Act wazalendo na Nccr Mageuzi hawana wabunge kwa ufafanuzi wa Spika, Wenje na Masha wanasubiliwa kuapishwa tu
 
Kanuni zinazoongoza mabunge ya Afrika Mashariki inasema wabunge watakaowakilisha nchi zao katika bunge la Afrika Mashariki watatoka katika makundi mawili, chama tawala (chama dola) na vyama vya upinzani.

Kutokana na Zitto Mwami na Naibu Spika kusoma kanuni vyema sasa wagombea wote wa upinzani watakuwa katika kapu moja. Tayari Chadema imewapeleka Lau Masha na Wenje. ACT inawapeleka Prof. Kitila Mkumbo na Wakili Albet Msando. NCCR imempeleka Mama Ndurikio. CUF makundi yote ya Maalif na Lipumba wamepeleka wagombea...

Kwa uhasama wa kivyama kati ya CCM na CHADEMA kuna kila dalili Prof. Mkumbo na Msando wakashinda...

Note: Hukumu ya Komu haiko applicable katika uchaguzi huu

ed0812c387bc444eae505e8b098c3373.jpg
Japo mimi mpambe CCM namkubali sana huyu mheshimiwa apewe. Atalisaidia Taifa
 
mkuu uliangalia vigezo vya kwanni waliwapeleka hao wawili au wwe unataka tu jinsia na zanzibar ndio uone kuna efficiency!!!! ni heri ungeuliza kwenye preas release ya mnyika kuwa ilikuaje akachukuliwa wenje na masha na sio mtu mwingine yoyote hapo utapata majibu ssa sio kuleta assumptions zako hapa yaani nafasi mbili ulitaka considerations zote hizo ziwezekane !!! yaani nafasi mbili jinsia tofauti kanda tofauti bara na visiwani sijui muislam na mkristo !!!! r u serious????

Hao wamewekwa hapo kwa ufanisi wao coz masha anauzoefu wa uwaziri na ubunge pia mwanasheria mahiri sana also wenje ni mpambanaji na msomi pia ambaye anaweza wakilisha sauti za vjana wa kitanzania ssa sioni ubaya kma vigezo wanavyo kwanni wasichaguliwe maana utendaji kazi hauangalii dini jinsia ukanda ukabila n.k
Acha blah blah mkuu.Masha hana sifa za kupata cheo chademakaingia juzi tu hata katiba yenu inasema hivyo
Halafu kama sifa za uzoefu chadema ina watu wengi sana wameshika nyadhifa kubwa,elimu na uzoefu kuliko wenje na masha.Bado sijashawishika na hoja tetezi zako
 
Haina shida wapeni tu hao wa vyama vingine. Hata bunge la EALA Lililoisha chadema ilifanyiwa figisu hizo, ndiyo maana hakuna mchadema ktk bunge hilo.
Mti wenye matunda hupigwa mawe.

Mkuu nami nasema hivyo. Wanaochagua wabunge wa EALA ni CCM sababu ni wengi. Inatia uchungu sana lakini hatuna jinsi. Ilitakiwa upinzani uchague wabunge wao peke yao bila kuhusisha ma CCM![emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Unajua na una uhakika unachokinena? Hao hawakuwahi kuwa Wabunge wa EALA. Jiongeze!

we ndo unamlisha maneno! kwa yeye kasema walishawahi kuwa wabunge wa EALA?? kasema walishawahi kuwa wabunge, au unabisha hawajawahi kuwa wabunge??
 
Hawa wafuatao wanafaa sana kutuwakilisha upande wa upinzani. Ni mapendekezo yangu
1.Prof Kitila Mkumbo
2.Mnyaa
3.Wakili Msomi Albert Msando
 
Wenje alipokabidhiwa jimbo la Nyamagana aliishia kuratibu maandamano
 
1.Prof kitila √
2.Mnyaa √
3.Wakili Msomi Msando √
 
kwani umeskia atakayechaguliwa lazma mzalendo?? ingekuwa hivyo ccm ingeshakuwa imetoka toka 1995!!!! ila huyo kitila hana uzalendo wowote mkuu huwajui ACT Vzuri nawajua ndani na nje so take it from me hao jamaa hawajawahi kuwa wazalendo hta cku moja kma watashinda labda kwa sababu za sera zao au watsoever ila kma uzalendo baso wenje hapo na mnyaa wachukuliwe
Nikutajia watu makini...hata lembeli angefaa sana kama ni hoja ya uzoefu.
Tatizo naona umetumwa kuwapigia watu debe kila la kher
 
waliupataje uzoefu??? kumbuka EALA tunatakuwa kwenda kuonyesha uzoefu sio kutafutia uzoefu!!! ssa tukipeleka watu wa kwenda kutafutia uzoefu wale wanyarwanda wataendelea kutuburuza as always!! kwani wenje na masha sio wasomi au kwako wwe usomi ni mpaka PHD??? kma ni uzalendo kina wemje mbona wazalendo kapigwa virungu vingapi na kufukuzwa mara ngapi bungeni kisa kupinga miswada ya kifisadi ! huyo kitila ushawahi skia hta amelala rumande kisa kupigania haki ????
Kwani kila comment lazima uijibu??
 
Nikutajia watu makini...hata lembeli angefaa sana kama ni hoja ya uzoefu.
Tatizo naona umetumwa kuwapigia watu debe kila la kher
Mkuu watu wanachaguliwaga kuendana na malengo yanayokuwapo!! mfano kma lengo lao ni mbobezi wa sheria ambaye pia anauzoefu wa kibunge basi naona masha njia nyeupe and also kma kigezo kingine ni kupata "fighter" au "kijana" mwenye uzoefu wa kibunge ssa hapo wenje anaachwaje???

Mkuu siamini kwa vyovyote kuwa wale kamati kuu waliamua bila kuwa na mipango na wakaona watu sahihi wakufanikisha hilo ni hao walioteuliwa ssa kwani hawajui kuwa lembeli yupo au baregu???? mkuu acha ushabiki wa kulazimisha kufanana mawazo anayeteua ndio anajua kwanni wamewekwa!!!
 
Kwani kila comment lazima uijibu??
Mkuu sipendi upotoshaji na kukaa pembeni kuona wapinzani tukidhihakiwa so napoona kuna uhitaji wa kuchangia mada naingia kujibu kama inakuudhi basi waweza niweka kwenye ignore list na hutawahi ona post zangu!!!!
 
Back
Top Bottom