Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

CHADEMA walikosea sana kuzani kwamba wateule wao wangepita bila kupingwa. Kwani hata kwenye utaratibu wa awali uliokuwa unashabikiwa na mwanasheria wao, bado bunge lingeweza kuamua kuwapigia kura ya ndiyo au hapana. Hivyo bado wangeweza kukosa wote wawili kwa kupigiwa kura za hapana na nafasi hizo kutangazwa upya.

Zitto wataendelea kumchukia maana hapa amewasaliti tena chadema/ ukawa. Amerudisha hasira zao kwake ambazo zilikuwa zimekwisha.

Prof Mkumbo wa ACT, Mh Abert Msando wa ACT na Mh. Mnyaa wa CUF(Lipumba) wana uwezekano mkubwa kushinda uchaguzi huo. Waamuzi ni wabunge wa CCM maana wako 2/3 ya wabunge wote.
Lkn mkuu,....hili lilikuwa wazi!
Zito na ACT, ktk mikakati yao walishawatangulia mbali kabisa "wapinzani wao ktk kinyang'anyiro cha EALA"...walikuwa "wakifukuza mwizi kimya kimya"...
 
CHADEMA walikosea sana kuzani kwamba wateule wao wangepita bila kupingwa. Kwani hata kwenye utaratibu wa awali uliokuwa unashabikiwa na mwanasheria wao, bado bunge lingeweza kuamua kuwapigia kura ya ndiyo au hapana. Hivyo bado wangeweza kukosa wote wawili kwa kupigiwa kura za hapana na nafasi hizo kutangazwa upya.

Zitto wataendelea kumchukia maana hapa amewasaliti tena chadema/ ukawa. Amerudisha hasira zao kwake ambazo zilikuwa zimekwisha.

Prof Mkumbo wa ACT, Mh Abert Msando wa ACT na Mh. Mnyaa wa CUF(Lipumba) wana uwezekano mkubwa kushinda uchaguzi huo. Waamuzi ni wabunge wa CCM maana wako 2/3 ya wabunge wote.
Ni kweli mkuu!
...."sehemu hii ya sasa, ktk 'siyasa' ya TZ, ni sawa na "mtahiri kupewa idhini ya kuanza shughuli yake"...vijana wa "jandoni", viroho papo"
 
Matokeo yake ccm itapeleka wabunge wasiojielewa na kuitia aibu nchi
Ina maana hujawaona wagimbea. basi subiri siku ya kujieleza maana umepitwa tayari! Ila wabunge piga ua wamachague prof. Akatutetee hujko haki za waTanzania ndani ya EA.
 
Kanuni zinazoongoza mabunge ya Afrika Mashariki inasema wabunge watakaowakilisha nchi zao katika bunge la Afrika Mashariki watatoka katika makundi mawili, chama tawala (chama dola) na vyama vya upinzani.

Kutokana na Zitto Mwami na Naibu Spika kusoma kanuni vyema sasa wagombea wote wa upinzani watakuwa katika kapu moja. Tayari Chadema imewapeleka Lau Masha na Wenje. ACT inawapeleka Prof. Kitila Mkumbo na Wakili Albet Msando. NCCR imempeleka Mama Ndurikio. CUF makundi yote ya Maalif na Lipumba wamepeleka wagombea...

Kwa uhasama wa kivyama kati ya CCM na CHADEMA kuna kila dalili Prof. Mkumbo na Msando wakashinda...

Note: Hukumu ya Komu haiko applicable katika uchaguzi huu

ed0812c387bc444eae505e8b098c3373.jpg
Si tumeambiwa Maalim kafukuzwa cuf , kumbe kundi lake bado lipo ?
 
CHADEMA walikosea sana kuzani kwamba wateule wao wangepita bila kupingwa. Kwani hata kwenye utaratibu wa awali uliokuwa unashabikiwa na mwanasheria wao, bado bunge lingeweza kuamua kuwapigia kura ya ndiyo au hapana. Hivyo bado wangeweza kukosa wote wawili kwa kupigiwa kura za hapana na nafasi hizo kutangazwa upya.

Zitto wataendelea kumchukia maana hapa amewasaliti tena chadema/ ukawa. Amerudisha hasira zao kwake ambazo zilikuwa zimekwisha.

Prof Mkumbo wa ACT, Mh Abert Msando wa ACT na Mh. Mnyaa wa CUF(Lipumba) wana uwezekano mkubwa kushinda uchaguzi huo. Waamuzi ni wabunge wa CCM maana wako 2/3 ya wabunge wote.

sawa, lakini kwenye mashindano lolote laweza kutokea
 
Sio kuhofia hawana siasa safi wana siasa chafu Nyerere alishauri Ili nchi iendelee inahitaji siasa safi.Ndio maana wagombea Chadema hatapita hata mmoja watauza sura wakati wa kujieleza bungeni halafu wataondoka na sura zao kurudi nazo Chadema
CUF na ACT wana siasa safi kwa sababu CCM inawaendesha kama makondoo.
 
CCM mna mawazo ya kipuuzi sana . Chadema itapasua sana hasa ukizingatia striker Tundu Lissu anamuumiza kichwa babu kipara
 
Mleta uzi anadhihirisha ni kwa jinsi gani upinzani ni dhaifu na ccm dhohofu itakavozidi kupeta..

[HASHTAG]#mytakes[/HASHTAG]
Ubunge wa EALA tungepeleka wenye uwezo na uzoefu bila kujali itikadi..
Tukipeleka vilaza, mabashite na vihiyo itakula kwetu..!
 
Back
Top Bottom