Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

Unaona sasa demokrasia ilivyo ndani ya upinzani? Wangepewa dola ingekuwaje? Baraza la mawaziri lingejaa dada, kaka, wajomba, shangazi, wake, waume, shemeji, baba, mama, bibi na babu za viongozi wakuu wa chama tawala/ serikali. Vivyo hivyo ndivyo ingalikuwa kwa mabalozi, wakuu wa mikoa/ wilaya, wakurugenzi wa taasisi za umma, makatibu wakuu wa wizara, mikoa, wilaya na kadhalika. Hii nadhani inaitwa nepotism, kitu ambacho ndiyo kibaya kuliko vyote katika utawala duniani. Ni kibaya kuliko ukabila, udini na udikiteta. Yaani ni hatari kuliko danger yenyewe!!! Ni bora ukateuwa michepuko kuliko kufanya nepotism!!!
Embu acheni upotoshaji huyo mama Ndurikio na mbatia wapi na wapi???? Mnajidhalilisha sana kuja na propaganda za kijinga eti dada yake huyo dada yake mlimzalisha nyie!! afu unajiita dr akili na unaongea pumba hivi??

nepotism ipo ccm from kimbisa to kawawa to maghembe to nyerere mbona hatusemi!!! hao si watoto kabisa wa mapapa wa ccm ila hao huwaoni then unaanza kutunga uongo wa dada wa mbatia mxeuuuuuu umenikera sana!
 
Sasa kama chadema hawahitaji wabunge wa kupewa na ccm, sasa hayo majina ya Wenje na Masha walikuwa wanayapeleka ya nini kwenye bunge ambalo wenye uamuzi ni ccm?
Ni haki yao kikatiba.... hivyo kushiriki ni muhim kwa maana pana zaidi ya demokrasia hivyo washinde au wasishinde ila ni bora wasimamishwe ili watakaopiga kwa ushabiki wa chama tawala historia itakuja kuwahukumu kma unakumbika kodi ya simu utaelewa nasema nni
 
mkuu uzoefu pia muhim..... unless hatutaki mabadiliko EALA mnyaa na kina masha naona wanafaaa zaidi sababu ya advantage ta experience
kitila ni msaada mkubwa
Mnyaa n masha walipataje huo uzoefu unaongelea
Nadhan muhim ni kupeleka wasom wenye uelewa na wazalendo pia kwa nchi yao
 
Kwani hizo nafasi sita ccm imezipataje?? Na sio utaratibu huohuo utatumika kupata wawakilishi wa EALA Kwa vyama vingine vyenye idadi kubwa ya wabunge bungeni kama CDM na CUF...??

Yaani chama chenye mwakilishi mmoja bungeni kikazoe viti vya uwakilishi wa EALA??
 
mkuu uzoefu pia muhim..... unless hatutaki mabadiliko EALA mnyaa na kina masha naona wanafaaa zaidi sababu ya advantage ta experience
Tutawapima! Wakilingana ktk uzoefu, tutatazama ktk maadili, na uwezo wa kutafakari, na kujenga hoja...wakilingana.....then "mwenye veto" bungeni ataamua!
 
Kanuni zinazoongoza mabunge ya Afrika Mashariki inasema wabunge watakaowakilisha nchi zao katika bunge la Afrika Mashariki watatoka katika makundi mawili, chama tawala (chama dola) na vyama vya upinzani.

Kutokana na Zitto Mwami na Naibu Spika kusoma kanuni vyema sasa wagombea wote wa upinzani watakuwa katika kapu moja. Tayari Chadema imewapeleka Lau Masha na Wenje. ACT inawapeleka Prof. Kitila Mkumbo na Wakili Albet Msando. NCCR imempeleka Mama Ndurikio. CUF makundi yote ya Maalif na Lipumba wamepeleka wagombea...

Kwa uhasama wa kivyama kati ya CCM na CHADEMA kuna kila dalili Prof. Mkumbo na Msando wakashinda...

Note: Hukumu ya Komu haiko applicable katika uchaguzi huu

ed0812c387bc444eae505e8b098c3373.jpg
Na kufundisha ndio anakupa kisogo au,siasa inalipa wajameni.
 
Kwani hizo nafasi sita ccm imezipataje?? Na sio utaratibu huohuo utatumika kupata wawakilishi wa EALA Kwa vyama vingine vyenye idadi kubwa ya wabunge bungeni kama CDM na CUF...??

Yaani chama chenye mwakilishi mmoja bungeni kikazoe viti vya uwakilishi wa EALA??
Ndio kitakacjotokea
ACT Wameteua bila unafika na kujuana chadema wameshindwa nn kuteua prof safar na prof baregu wazee smart sana hawa
Tunahitaji uwakilishi co siasa tena
 
ila hao wana uzoefu wa baraza la mawaziri na mwingine bunge ssa ndio maana mie binafsi naona wanafaaa ssa kitila is briliant kichwani sema nlitamani bunge la EALA liende na watu wenye uzoefu na mabunge ili wazoee haraka na kuonyesha uzoefu ssa kitila ndo kwanza aanze kuzoea mikanuni ya bunge na jinsi linavyoendeshwa huoni itapunguza ufanisi wa wabunge wa EALA.....
Mkuu, hoja ya uzoefu ni pana!
Kweli, ni muhimu sana, lkn ni pana....na uzoefu ktk bunge letu uko ktk namna mbili...uzoefu unaofaa na kujenga, na ule ulio kinyume na hivyo....lkn pia uwazir wa masha ulikuwa umejaa "mawaa" zaidi...hatujasahau!
...vipi suala la "integrity"...? Hilo ndo sifa mama ya uchaguzi huo!
 
kitila ni msaada mkubwa
Mnyaa n masha walipataje huo uzoefu unaongelea
Nadhan muhim ni kupeleka wasom wenye uelewa na wazalendo pia kwa nchi yao
waliupataje uzoefu??? kumbuka EALA tunatakuwa kwenda kuonyesha uzoefu sio kutafutia uzoefu!!! ssa tukipeleka watu wa kwenda kutafutia uzoefu wale wanyarwanda wataendelea kutuburuza as always!! kwani wenje na masha sio wasomi au kwako wwe usomi ni mpaka PHD??? kma ni uzalendo kina wemje mbona wazalendo kapigwa virungu vingapi na kufukuzwa mara ngapi bungeni kisa kupinga miswada ya kifisadi ! huyo kitila ushawahi skia hta amelala rumande kisa kupigania haki ????
 
Upande wako umeuonyesha kwenye uzi huu. Hongera!
Mkuu ni hali halisi.Wengi tuliyabashiri hayo mapema tu kuwa chadema hatopata mbunge.Hivyo viti viwili aidha vyote vitakwenda ACT-Wazlando au watagawana na mtu wa Cuf Lipumba.
Kibaya zaidi Chadema hawakuzingatia gender balance,wala muungano.Basi hata kama ni utanganyika kulikuwa na haja gani ya kuteua watu wawili kutoka jimbo moja?
 
waliupataje uzoefu??? kumbuka EALA tunatakuwa kwenda kuonyesha uzoefu sio kutafutia uzoefu!!! ssa tukipeleka watu wa kwenda kutafutia uzoefu wale wanyarwanda wataendelea kutuburuza as always!! kwani wenje na masha sio wasomi au kwako wwe usomi ni mpaka PHD??? kma ni uzalendo kina wemje mbona wazalendo kapigwa virungu vingapi na kufukuzwa mara ngapi bungeni kisa kupinga miswada ya kifisadi ! huyo kitila ushawahi skia hta amelala rumande kisa kupigania haki ????
Mkuu kama kwako uzalendo ni kupigwa virungu na kulala rumande
Tukutane baada ya uchaguzi
 
hivi kupigania haki ni mpaka ulale rumande kumbe,kweli chadema kumejaa mizoga?
 
Napendaga wanavyojinadi "kikuwai" utasikia i have 3kids

maswali yale kuhusu EA Community yaani ni vituko tupu. Mimi nasubiri siku hiyo ya kujinadi bungeni

siku hiyo sikosi bandle lazima niwe online mubashara
 
ni kwel lakin ww unadhani ina tija kwa taifa? wakat mwingine tutangulize maslah ya taifa mbele. mi nadhani tungechagua wenye uwezo wa kuitetea nchi bila kuangalia vyama wanavyotokea. ikumbukwe wanaenda kuwakilisha nchi sio vyama vyao! so kama wawakilish bora ni kutoka ACT au CUF wapewe. lakni tusiwape tuu ilimrad tunaikomoa chadema. kama tutafanya hivyo hatuwez kufika mbali.

Mi naona wawakilishi wa wapinzani wangeachiwa wenyewe wabunge wapinzani wapige kura
 
mlisema hivyo hivyo kwa lisu kuwa mtamdhibiti but mwishoni wote tunajua mlichovuna..... kma mnafkiri mnapiga kura kwa kukomoana na kupitisha watu dhaifu wasio na uzoefu na mabunge eti kisa tu chadema wakose mnasahau kule tunaweka maslahi ya taifa mbele sio vyama ssa nyie mmejaza watoto wa viongozi afu still mnataka kukomoa upinzani hasa nani atatetea maslahi ya watz huko EALA!!!! hapo hamukomoi mbowe ila mnajikomoa na taifa zima na kwa staili tutaendelea kuburuzwa na wanyarwanda huko EALA
Huu sio uchaguzi wa NGo ya TLS usichanganye mada
 
Ha Ha Ha watapitia dirisha gani kushinda bungeni kwenye kura? CCM tunawAsubiri tuwaonyeshe cha mtema kuni si kutwa huwa wanatutukana huyo Masha na Wenje. Watatukoma kwenye sanduku la kura.
Mko tayari kupigia mbuzi uwakikishi EAC Kwa vile anafugwa na kada wenu na kumuacha MTU atayeweza kuitetea nchi kwa uhakika
 
Mkuu kama kwako uzalendo ni kupigwa virungu na kulala rumande
Tukutane baada ya uchaguzi
kwani umeskia atakayechaguliwa lazma mzalendo?? ingekuwa hivyo ccm ingeshakuwa imetoka toka 1995!!!! ila huyo kitila hana uzalendo wowote mkuu huwajui ACT Vzuri nawajua ndani na nje so take it from me hao jamaa hawajawahi kuwa wazalendo hta cku moja kma watashinda labda kwa sababu za sera zao au watsoever ila kma uzalendo baso wenje hapo na mnyaa wachukuliwe
 
Back
Top Bottom