FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 947
- 669
Mpuuzi mwingine huyu, kajifunze kuandika kwanza.imebak jina2.. uo ndo ukwel.. fild wanahribu vibayaa... hyo n ixara hta wakmlza wtkua vlaza2.... wanaxndwa hta n SAUT
Yani mbwembwe zote hizi vitu basic kabisa katika internet kama kuweka link hujui! Huko UDSM mnasomea ujinga!?Ningekua najua jinsi ya kueka link ningekuekea lakini hyo procedure ilikua invented na dr wa CoET na wa ardhi.. Research zingine zilikua zina tumia one of materials either lime au cement sio kwa pamoja.
Na hiki ktu ka mara ya kwanza kilivumbuliwa 2011 na kikawa applied barabara ya chalinze_kibaha
Hongera wew unayejua kila kituYani mbwembwe zote hizi vitu basic kabisa katika internet kama kuweka link hujui! Huko UDSM mnasomea ujinga!?
Kinatoa wataalam wenye weledi ambao ni hazina kwa taifa lolote lenye kuitaji maendeleoWamegundua nini chenye tija mpaka sasa ivi??
Umejitahidi angalau kutoa maelezo mazuri lakini bado hujajibu swali linalohitaji majibu katika thread hii.laiti mngejua vigezo wanavyo tumia kupima ubora wa vyuo msinge piga kelele na kutilia shaka ubora wa udsm..
kiufupi tuu kuna taasisi na tafiti hufanyika kila vyuo na kubaini ubora wao kwa vigezo mbali mbali...
chuo cha udsm kimefanya tanzania kuwa nchi ya tatu Africa mwaka 2016 baada ya s Africa na misri.
nyie hamna vigezo vya kupima ubora wa vyuo.. vyuo sio majengo tuu..kama udom..
kama tz pekee tuna zaidi ya vyuo 50 je Africa nzima itakua na vyuo vingapi...
na kwa nafasi hii ya 11 kwa vyuo vyote Africa ww bado una tilia shaka udsm.... bila shaka utakuwa umesoma teku...
jionee hapa down
Top 200 Universities in Africa | 2016 University Rankings
topic inasema ubora wa udsm ni upiii??Umejitahidi angalau kutoa maelezo mazuri lakini bado hujajibu swali linalohitaji majibu katika thread hii.
Na wewe kama ni wa Udsm basi shida ipo.
Uhazina wao ni upi?? Wakati mpaka sasa hivi hakuna mtu yeyote aliesoma UDSM ambae ameweza kutengeneza penseli au kugundua kitu chochote??Kinatoa wataalam wenye weledi ambao ni hazina kwa taifa lolote lenye kuitaji maendeleo
Mi nlikuw nazungumzia Ardhi mkuu... ungenawa uso kwanza!Uhazina wao ni upi?? Wakati mpaka sasa hivi hakuna mtu yeyote aliesoma UDSM ambae ameweza kutengeneza penseli au kugundua kitu chochote??
Kwa kukusaidia watu waliosoma UDSM zamani ndo walikuwa na weledi mzuri wa ufisadi labda hicho tu ndiyo kitu nachowakubali.
That apart,wanaosoma UDSM sahivi hakuna chochote kabisa maana huwa nawaona kwenye interviews hawajui lolote!, pia kuna wengine nafanya nao kazi yani ni shida tupu!
hao waalimu walitakiwa kutengenezwa Udsm?Ila pamoja na mbwembwe zenu zote udsm wanaazima walimu wa anatomy kutoka bugando,so sad
Mkuu kwani wewe umesoma wapi? Mbona kama vile huna imani na UDSM?Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.
NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu
Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele
Hujataka kuziona kwasababu umejicondition hivyo....ila jaribu kufikiria udsm isingekuwepo Tanzania ingekua vipi? Kwa kweli Historia ya Tanzania ingekuwa tofauti na tunavyohifamu leo.
Hizo project huwa hazitekelezeki kwa kua na gharama kubwa za uendashaji na kuzizalisha kwa wingiNadhani hujahudhuria maonyesho ... mwaka huu nimeona new software's kwa ajili ya traffic dpt,health officials zilizokua developed na college of COICT, ....research ndio za kumwaga kila week zinatoka...ni nyingi mno kucatch public attention maana imekua kawaida udsm....tatizo ni kuwa serikali mara nyingi haiziangalii...
Umekurupuka kuleta Rank ambayo hujui maana yakelaiti mngejua vigezo wanavyo tumia kupima ubora wa vyuo msinge piga kelele na kutilia shaka ubora wa udsm..
kiufupi tuu kuna taasisi na tafiti hufanyika kila vyuo na kubaini ubora wao kwa vigezo mbali mbali...
chuo cha udsm kimefanya tanzania kuwa nchi ya tatu Africa mwaka 2016 baada ya s Africa na misri.
nyie hamna vigezo vya kupima ubora wa vyuo.. vyuo sio majengo tuu..kama udom..
kama tz pekee tuna zaidi ya vyuo 50 je Africa nzima itakua na vyuo vingapi...
na kwa nafasi hii ya 11 kwa vyuo vyote Africa ww bado una tilia shaka udsm.... bila shaka utakuwa umesoma teku...
jionee hapa down
Top 200 Universities in Africa | 2016 University Rankings
Plz toa ufafanuzi uliopo kati ya chuo kikuu na tasisi za elimu af rudia ukuandika comment yako upyaUdsm Ni Chuo kikuu cha Taifa ila Vingine ni Taasisi za Elimu ya Juu.
Wale wanaosoma course za Uinjinia na wale wanaosoma VETA Ufundi wanatofautiana Makaratasi (vyeti) ila wote ni Mafundi Kujenga.
Nafurahi kusikia ni za kawaida [emoji3] uko deep in shallow waters. Izo allegations zifoward UDSMHizo system sijui za traffic, sijui za hospital management ni za kawaida sanaaa ambazo hata Google unazipata. Naomba kujua why mpaka leo wanapiga kura kwenye mabox? Why mpaka leo wanatumia Aris kwenye students record?? COICT inafanya kazi gani??? Wenzao UDOM pale informatics wana students record ambayo ni yao, wana voting system yao ambayo wakiaminika itatumika uchaguzi mkuu 2020. COICT wamefanya kitu gani???