Una uhakika kuwa hiyo Sony unayoitumia ukiifungua humo ndani ni Sony ?TV ni Sony tu. Mimi siamini nje ya hapo
Una uhakika kuwa hiyo Sony unayoitumia ukiifungua humo ndani ni Sony ?TV ni Sony tu. Mimi siamini nje ya hapo
na vip panasonic pamoja na sharp?Mkuu hiyo Philips ni jina tu,ndani siyo ile Philips ya kutoka Uholanzi ya miaka iliyopita. Jina lilikuwa licenced kwa TPV ya china tangu 2005 for entry level TV sets na kuanzia 2011 wachukua TV sets zote za Philips. Kwa hiyo hizo Philips TV humo ndani siyo Philips. Kama vile TCL wanavyopewa mkataba na Samsung kutengeneza mainly entry level TV sets
Na kuna kampuni nyingi sana ambazo zinafanya outsourcing hasa kwa entry level products kupunguza gharama.
Ukiangalia kwa undani au ukiwa ni mtu kufanya research haswa wakati huu wa utandawazi utagundua vitu vingi sana vinatengenezwa sehemu moja ila vinavikwa nguo tofauti na jina tofauti.Na kwa walio huko home wapambane na fake products kwa wakati huo huo. Nafikiri nimejibu swali,kuna wakuu wengine wanaweza kuongezea.

Sharp ilinunuliwa na Hisense tangu 2015.na vip panasonic pamoja na sharp?
ok,mkuu nakushukuru sana kwa maelezo mujarab kama haya,so wewe kwa utaalamu wako unashauri brand gni ni nzuri kwa ambao wanataka kununu hizo tv kwa kipindi hiki cha maendeleo ya hizi teknolojia?Sharp ilinunuliwa na Hisense tangu 2015.
Panasonic na Pioneer wali invest sana kwenye Plasma dysplay. Sababu yao kubwa ni ubora wa picha ya plasma dysplay kulinganisha na LCD. Plasma zilikuwa na picha nzuri zaidi ingawa zilikuwa zinatumia umeme zaidi. Na pia zilikuwa zinatengenezwa size kubwa kuliko LCD. Lakini kilichoua zaidi Plasma TV pamoja na kuitoa Pioneer kwa TV business ni 4K resolution. Ni gharama sana kutengeneza Plasma ya 4K resolution kuliko LCD ya 4K. Lakini ukisoma reviews za Panasonic plasma na Pioneer Kuro ni among the best TV ever produced kwa picture quality.
Panasonic sasa hivi amempatia mturuki kutengeneza low end LCD mwenyewe anatengeneza OLED (Light emiting diode) Hizo OLED panels ananunua kutoka LG kisha kila kitu kingine anaweka mwenyewe humo ndani kwamba TV yake inakuwa kwanza ina bei kubwa sana na ni bora sana kuliko OLED ya LG au SONY.(Kumbuka sony na Panasonic wote wananunua OLED panels kutoka LG).
Nakupa model namba hapa ili usome zaidi
Panasonic TC-65EZ1000 hiyo 65" kwa mara ya mwisho naangalia ni $8000 nafikiri.
Karibu
Mkuu hilo swali ni gumu sana. Kwa kifupi tu kuna mambo mengi ya kuangalia. Makubwa haswa ni kwamba wewe mnunua TV unahitaji nini kwenye TV yako,viewing angle,je kwa TV ndogo kama nchi 40 (Samahani kwa huku nilipo hizo ni ndogo) je kuna faida ya kununua 1080P ?Kama hakuna faida je nikinunua 720P nikaokoa hela kuna madhara yoyote ? Najua sasa hivi kuna 4K ambayo ni 2160P je ukinunua hiyo kuna content za kuangalia kwa hiyo resolution ? Fikiria tu ukiangalia TV kwa jumla sidhani kama kuna station inayorusha matangazo kwa 1080P,zinazojitahidi sana ni 720P kwa hiyo mara nyingi utaangalia 1080P contents ukutumia blu ray,mfuko wako una urefu gani etc etc. Pia fanya research yako mwenyewe kuhusu hiyo TV,yaani kuanzia brand na model number. Model number,tafiti kwa nini kwa mfano Samsung LCD 50 inches zenye model number tofauti,zinauzwa bei tofauti.Usiulize muuzaji kwa kuwa mara nyingi atataka kuuzia ambayo ina profit margin kubwa.ok,mkuu nakushukuru sana kwa maelezo mujarab kama haya,so wewe kwa utaalamu wako unashauri brand gni ni nzuri kwa ambao wanataka kununu hizo tv kwa kipindi hiki cha maendeleo ya hizi teknolojia?
Nimeepuka kutaka brand yoyote kwa sababu siku hizi ni vigumu sana kufahamu nani katengeneza nini. Nafikiri kuna uzi hapo niliandika kuhusu Sharp,Philips etc etc.ok,mkuu nakushukuru sana kwa maelezo mujarab kama haya,so wewe kwa utaalamu wako unashauri brand gni ni nzuri kwa ambao wanataka kununu hizo tv kwa kipindi hiki cha maendeleo ya hizi teknolojia?
Roku TV wachek The amazing pale sinza wanazo...32 inches smart tv wnauza 550 tuTCL smart tv zilizopo bongo ni za generation ya mwanzoni zile ambazo zinatumia OS ya linux. Hizi za Roku ni kama bado hazijaingia maduka yetu ya changanyikeni yale.
By the time zimeanza kuingizwa kwa wingi watu watatoa ushuhuda vizuri maana ni za ukweli mno!
Marekani wananunua sana sahivi maana ni cheap na zina features zinazouzwa ghali sana kwenye name brands kama Sony, Samsung ama LG
roku ziipojr mkuu?Roku TV wachek The amazing pale sinza wanazo...32 inches smart tv wnauza 550 tu
Roku ni OS mkuu humo ndan kuna streaming site mbal mbal..ni wewe na bando lako turoku ziipojr mkuu?
Hawana mzee tena wanakosea sana, wanapoweka matangazo ya picha yakionesha ni TCL za Roku tv ilihali sio hizo ambazo wanauza kimsingi ni kudanganya wateja na kuwavutia tu.Roku TV wachek The amazing pale sinza wanazo...32 inches smart tv wnauza 550 tu
Daah hawa jamaa wamekua wazushi hivi? Ndio zile habar za hometheater za pakistan kumbe hata kweny Tv ni hivi hivi...leo nita unfollow page yaoHawana mzee tena wanakosea sana, wanapoweka matangazo ya picha yakionesha ni TCL za Roku tv ilihali sio hizo ambazo wanauza kimsingi ni kudanganya wateja na kuwavutia tu.
Mi si nmenunua nchi 49 january hii katikati hapo. Amazing_lifestyle wana TCL smart tv za generation ya mwanzo zile ambazo zina run Linux OS na app pekee ya tv streaming ni ya golive tu ambayo ina machaneli ya kichina mengi mengi za kizungu ni za habari kama bbc, cnn n.k. Hata Netflix halina.
Cha maana mle ni youtube app na web browser tu ndio inafariji na kunifanya niipende hii TV. Mbali na hapo kuna facebook na twitter ambazo kimsingi sizitumii kabisa.
Kama ulikuwa na mpango wa kununua TCL Roku Tv hapo amazing hazijaletwa bado na maduka mengi ya changanyikeni jiini dar hamna TCL za Roku wasije wakakuingiza kingi. Binafsi nilitarajia itakuwa ya Roku OS kama walivyo advertise ila sio.
Sehemu pekee ambayo unaweza kuikuta Roku Tv kwa sasa labda Mlimani City tu ndio nna uhakika napo.
kuweka linux ni gharama kuliko roku. una uhakika ni linux? maana roku ni ligjtweight os tu haina mambo mengi. umejaribu kudownload app ya roku store imekataa ku pair?Hawana mzee tena wanakosea sana, wanapoweka matangazo ya picha yakionesha ni TCL za Roku tv ilihali sio hizo ambazo wanauza kimsingi ni kudanganya wateja na kuwavutia tu.
Mi si nmenunua nchi 49 january hii katikati hapo. Amazing_lifestyle wana TCL smart tv za generation ya mwanzo zile ambazo zina run Linux OS na app pekee ya tv streaming ni ya golive tu ambayo ina machaneli ya kichina mengi mengi za kizungu ni za habari kama bbc, cnn n.k. Hata Netflix halina.
Cha maana mle ni youtube app na web browser tu ndio inafariji na kunifanya niipende hii TV. Mbali na hapo kuna facebook na twitter ambazo kimsingi sizitumii kabisa.
Kama ulikuwa na mpango wa kununua TCL Roku Tv hapo amazing hazijaletwa bado na maduka mengi ya changanyikeni jiini dar hamna TCL za Roku wasije wakakuingiza kingi. Binafsi nilitarajia itakuwa ya Roku OS kama walivyo advertise ila sio.
Sehemu pekee ambayo unaweza kuikuta Roku Tv kwa sasa labda Mlimani City tu ndio nna uhakika napo.
Mi ni vile nilimuagiza mtu aninunulie hiyo T.V na hakuwa mjanja kung'amua kuwa sio Roku Tv wakat wanamtestia. Otherwise inabidi uende ukajiridhishe mwenyewe wakati wanakutestia kwamba ni Roku tv ndipo ununue.Daah hawa jamaa wamekua wazushi hivi? Ndio zile habar za hometheater za pakistan kumbe hata kweny Tv ni hivi hivi...leo nita unfollow page yao
Mkuu nakupa kazi ya kufanya research mwenyewe..mhh,Mhandisi Mzalendo inamana hizi tz ni kama maboksi tu?
Lakini mkuu kama ukitaka si unaweza kununua roku stiick media ukaweka tu na ikafanya kazi kama kawaida. Wakati tupo kwenye hii topic unaweza add stick media tofauti kama fire TV,google chromecast etc etc. Tatizo tu ni gharama ya ziada ya kununua hiyo media stick.Mi ni vile nilimuagiza mtu aninunulie hiyo T.V na hakuwa mjanja kung'amua kuwa sio Roku Tv wakat wanamtestia. Otherwise inabidi uende ukajiridhishe mwenyewe wakati wanakutestia kwamba ni Roku tv ndipo ununue.
Yeah ofcourse, ni rahisi ku attach tv box pembeni ukaendelea kufurahia ulimwengu wa Roku Tv ama hata android tvLakini mkuu kama ukitaka si unaweza kununua roku stiick media ukaweka tu na ikafanya kazi kama kawaida. Wakati tupo kwenye hii topic unaweza add stick media tofauti kama fire TV,google chromecast etc etc. Tatizo tu ni gharama ya ziada ya kununua hiyo media stick.
Roku store uta download vipi wakati hakuna appstore mle kwenye tv kiongozi? Labda unielekeze hapo endapo kuna uwezekano wa kuinstall apps maana nachokiona ni parse error ndio itafuata.kuweka linux ni gharama kuliko roku. una uhakika ni linux? maana roku ni ligjtweight os tu haina mambo mengi. umejaribu kudownload app ya roku store imekataa ku pair?
unadownload playstore kwenye simu yako kisha una pair. kama ni tv ya roku itakubali, kama sio ya roku itakataa.Roku store uta download vipi wakati hakuna appstore mle kwenye tv kiongozi? Labda unielekeze hapo endapo kuna uwezekano wa kuinstall apps maana nachokiona ni parse error ndio itafuata.