Ubora wa camera ya Tecno camon cx

1. kama haiendi nchi zinazopima itapimwaje? inakuja huku kwetu shamba la bibi wanapokuja ku dump.

2. hakuna kiwango kimoja kila nchi ina test yake.

-marekani yeye hutumia FCC, na zipo nchi nyengine ambazo hutumia standard ya marekani yaani FCC kama vile india, kiwango cha marekani ni 1.6 watts per kilogram
-Ulaya wao wana EU na CENELEC yao wao ni 2W per kg
-Australia wao ni 1.6 kama us etc

Specific absorption rate - Wikipedia

soma zaidi hapo.

na WHO hawa hapa

Mobile phone radiation is a possible cancer risk, warns WHO | SAR Shield - Cell Phone Radiation Protection | Mobile phone radiation chart
Pia madhara ya mionzi yanasababishwa pia na utumiaji waafrika tunatumia simu ovyo ovyo kuongea ujinga ujinga utakuta watu wanapigiana simu wanaongea ujinga ujinga dakika kibao
 
Tecno iko bora sana Kwa camera hakuna ubishi,,wenye shobo na flagship mnapenda sifa za kijinga tu.

Cha ajabu watu ambao hawana uelewa mzuri wa jinsi simu za kiganjani zinavyo fanya kazi ndiyo wanakuja humu na terms chungu mzima, mara flagship mara nini sijui!!! - Ukiwa hoji hivi hizo Samsung, Iphone nk zinatumia processor gani na chipsets zipi, ukiwahoji swali hilo nyeti si raisi wakakupa jibu sahihi zaidi ya kukandia simu za makampuni mengine - wao wanafikiri simu kuuzwa million na nusu au millioni mbili hiyo ndio simu balabala!!

Wanacho sahau/hawajui ni kwamba hardware zinazo tumiwa kuunda/assemble simu zote za viganajani zinatoka Taiwan, China na chache Korea Kusini - haya mambo ya baadhi ya JF members kuja humu na kuanza kubeza beza watu wanao tumia simu za TECNO sijui wanasumbuliwa na kitu gani - ulimbukeni labda?

Ukweli ni kwamba Utofauti hupo kwenye, kwanza:display/screen specifically resolution na actually watumiaji wengi wala hilo si issue kubwa kwao (kampuni ya Samsung na Apple wanaunda Display za kwao huko China under licence) - pili, ni kwenye ukubwa wa internal memory na FSB speed za memory zenyewe, tatu front side bus speed na nne ni type ya chipset inavyo weza kuzi-manipulate/tinker around kuiwezesha simu ifanye yale designer aliyo kusudia - bottom line is: kinacho matter ni jinsi/ujanja wa ma designer wa simu wanavyo zitumia hardware hizo kufanya wanacho kitaka wao na hii haijalishi kama simu ni Samsung, Iphone, TECNO nk wataalam wa mambo hayo wanajua simu zote zinafanya kazi using the same basic principles zilizo vumbuliwa na Waingereza kwa mara ya kwanza late 1980s ingawa miaka hiyo simu zilikuwa na saizi inayo fikia briefcase, simu zote za mikononi Duniani ni crone za design za Waingereza zinatofautiana kwenye teknolojia ya kusafirisha na kupokea mawasiliano kuna zinazo tumia GSM, CDMA na DoCoMo ya Japan - simu nyingine zinatofautiana kwenye Operating Systems na type za application programs.

Labda niwapatie mfano mdogo wa kuonyesha kwamba simu hizi utofauti wake ni mdogo sana na actually haupo kabisa: Ebu tafuta mtu aliye nunua simu ya million mbili mfano ya Samsung au Iphone lakini zina camera pixel zinazo lingana na simu ya TECNO ya robo ya bei Samsung/Iphone - pigeni picha halafu nenda kwenye printer kila mmoja atoe hardcopy ya photo linganisheni kama mtaona utofauti, ukweli wa mambo uwezi kuona tofauti/haupo. Narudia kuwakumbusheni kwamba simu karibu zote zinatumia hardware kutoka vendors wale wale hisipokuwa firmware chache ambazo ziko customized kwa kampuni husika kuzitofautisha unapo zi switch on.
 
296c1d6f2e769a4ebd45541945124f08.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuamini mkuu..kama miaka minne hivi imepita tangu ninunue simu aina ya HTC one (m8)..kamera yake ilikuwa nzuri sana mpaka nikawa naazimwa na watu wakapige picha kwenye masherehe na video zake zipo quality sana.
Sasa cha ajabu tangu mwaka jana naona kamera inaanza kufifia taratibu yaani inafika mahali ukizoom maandishi ya kwenye gazeti hayaonekani vizuri,hii imenifanya niamini simu zote ni sawa tu. Japo nitaendelea kuwa shabiki wa HTC
 
Cha ajabu watu ambao hawana uelewa mzuri wa jinsi simu za kiganjani zinavyo fanya kazi ndiyo wanakuja humu na terms chungu mzima, mara flagship mara nini sijui!!! - Ukiwa hoji hivi hizo Samsung, Iphone nk zinatumia processor gani na chipsets zipi, ukiwahoji swali hilo nyeti si raisi wakakupa jibu sahihi zaidi ya kukandia simu za makampuni mengine - wao wanafikiri simu kuuzwa million na nusu au millioni mbili hiyo ndio simu balabala!!

Wanacho sahau/hawajui ni kwamba hardware zinazo tumiwa kuunda/assemble simu zote za viganajani zinatoka Taiwan, China na chache Korea Kusini - haya mambo ya baadhi ya JF members kuja humu na kuanza kubeza beza watu wanao tumia simu za TECNO sijui wanasumbuliwa na kitu gani - ulimbukeni labda?

Ukweli ni kwamba Utofauti hupo kwenye, kwanza:display/screen specifically resolution na actually watumiaji wengi wala hilo si issue kubwa kwao (kampuni ya Samsung na Apple wanaunda Display za kwao huko China under licence) - pili, ni kwenye ukubwa wa internal memory na FSB speed za memory zenyewe, tatu front side bus speed na nne ni type ya chipset inavyo weza kuzi-manipulate/tinker around kuiwezesha simu ifanye yale designer aliyo kusudia - bottom line is: kinacho matter ni jinsi/ujanja wa ma designer wa simu wanavyo zitumia hardware hizo kufanya wanacho kitaka wao na hii haijalishi kama simu ni Samsung, Iphone, TECNO nk wataalam wa mambo hayo wanajua simu zote zinafanya kazi using the same basic principles zilizo vumbuliwa na Waingereza kwa mara ya kwanza late 1980s ingawa miaka hiyo simu zilikuwa na saizi inayo fikia briefcase, simu zote za mikononi Duniani ni crone za design za Waingereza zinatofautiana kwenye teknolojia ya kusafirisha na kupokea mawasiliano kuna zinazo tumia GSM, CDMA na DoCoMo ya Japan - simu nyingine zinatofautiana kwenye Operating Systems na type za application programs.

Labda niwapatie mfano mdogo wa kuonyesha kwamba simu hizi utofauti wake ni mdogo sana na actually haupo kabisa: Ebu tafuta mtu aliye nunua simu ya million mbili mfano ya Samsung au Iphone lakini zina camera pixel zinazo lingana na simu ya TECNO ya robo ya bei Samsung/Iphone - pigeni picha halafu nenda kwenye printer kila mmoja atoe hardcopy ya photo linganisheni kama mtaona utofauti, ukweli wa mambo uwezi kuona tofauti/haupo. Narudia kuwakumbusheni kwamba simu karibu zote zinatumia hardware kutoka vendors wale wale hisipokuwa firmware chache ambazo ziko customized kwa kampuni husika kuzitofautisha unapo zi switch on.
kuna gsm cdma na tata docomo? loh hadi nimecheka, kwani tata docomo si mtandao tu,

hapo ni kama umesema kuna football, basketball na manchester united.

una idea mkuu ila upo mis informed sana hebu kwa kuanzia tuchukue simu ya samsung flagship na kuicompare na tecno.

display
samsung ana display zake zinaitwa amoled, si kweli kwamba ana under license wakati tecno ni mwendo wa tft na sometime ips lcd.

storage
storage za samsung flagship zinaitwa ufs zina speed sana compare na emmc zinazotumika kwenye tecno

soc
soc ya samsung ni exynos au sometime snapdragon series, exynos inatengenezwa na samsung wenyewe, wakati tecno wanatumia mediatek tena makombo ya kizamani, flagship ya tecno phantom 6 inatumia helio x10 soc ya toka 2014 sijui 2015

sensor za camera
wakati kina samsung wakitumia sensor za kisasa kina tecno hata hawatangazi sensor wanazotumia, na wakitangaza ni kichekesho? unajua sensor ya phantom 6? imetumika toka 2014 kwenye simu ya xiaomi jina limentoka,

kama kuna ambacho hujaelewa unataka maelezo zaidi hapo juu nitakifafanua zaidi ila kifupi hizi simu hazifanani hata kidogo, na tecno yupo mbali sana hata kumueka level moja na hizi brand kubwa.

na watu wa tecno wengi mnaongea sana ila mkiambiwa mueke ushahidi mnakimbia,
-simu zinakaa na chaji, eka proof mnasepa
-simu zina camera nzuri, eka proof mnasepa

logic ya kawaida tu tumia, maghorofa mazuri yapo ulaya, marekani china, barabara nzuri huko huko, huduma za afya huko huko kasoro simu tu? simu zetu za Tecno Africa ndo bab kubwa? wao wazungu hawajui lolote wanauziwa vitu vya bei ghali? kweli?

tecno hawana hata head office wala research centre wao ni kununua tu simu na kubandika majina.
 
Kaka

Kaka camera za tecno hazijapitishwa na OIS.

Tecno wanawalaghai wateja wao kwa kuwapa specs zisizo kamili mtu akiambiwa tu 16mp basi anachanganyikiwa.

Tecno Camera zao hawaweki lens walizotumia.
Tecno hawaweki image sensor size za camera zao.
Hawaweki size za aperture na baadhi ya details.

Kwa sababu wanajua sisi waafrika ni uelewa wetu wa vifaa vya electronic ni mdogo.

Huwezi linganisha 16mp ya tecno na 12mp ya iphone au samsung kwa sababu sensor za tecno ni ndogo hivyo kupelekea image quality kupotea pindi inapokuwa zoomed pia aperture zao ndogo hivyo test za kwenye dim light ina fail.

Jamani nawaasa watumiaji wa tecno msidanganyike na wingi wa pixels wa simu hizo uwezo wa camera zao ni mdogo.

Naomba anayesema tecno wana camera bora aje na source na kuniambia sensor size ya hio cx,lens iliyotumiwa na imethibitishwa na OIS pia na size ya aperture yake.
Akizipata naamini tecno wana camera bora kuliko simu zote duniani.

Mfano lumia 1020 ukienda gsmarena wameweka detail zao.

Camera 41mp.
Carl zeiss lens.
Sensor size wameweka.

Sasa tafuta tecno unakuta tu 16 mp mwisho.

WP_20130726_20_40_48_Pro__highres.jpg

Hiyo ni picha ya lumia 1020 ya 2013 Jaribu kuizoom uone quality halafu leta picha ya hio camon cx.
 
kweli kabisa kaka uliyoyaongea, hizi sample za ndugu yake 1020, Nokia 808
cCLQnBI.jpg

jczHHtQ.jpg

hizo switch ukiangalia kuanzia kutu, shaba za ndani ya switch, vumbi la chaja etc kila kitu kinaonekana,
hilo feni lilikuwa linazunguka hapo ila nguvu ya xenon flash imelitoa kama limesimama vile, camera kama hizi zinashoot motion yoyote ile iwe sarakasi, diving wakati wa kuogelea, mtu anaekimbia etc, compare na led utazozikuta kwenye simu zisizojielewa.
 
Wazee wa megapixel wameona quality hio nadhani hawataongeza picha zingine tena.
Hayo mambo ya megapixel tuwaachie akina itel na tecno kuwadanganya watu kama ile vita ya AMD na Intel ya Ghz miaka ya 2000 ila hivi sasa wanaangalia ubora wa processor na sio Ghz tena.
Kaka huwezi amini kuna simu zinapiga hadi raw format kama galaxy s6 edge,google pixel na n.k
Halafu ulinganishe na tecno cx ambayo hata haifikii huawei mate.
 
kweli kabisa kaka uliyoyaongea, hizi sample za ndugu yake 1020, Nokia 808
cCLQnBI.jpg

jczHHtQ.jpg

hizo switch ukiangalia kuanzia kutu, shaba za ndani ya switch, vumbi la chaja etc kila kitu kinaonekana,
hilo feni lilikuwa linazunguka hapo ila nguvu ya xenon flash imelitoa kama limesimama vile, camera kama hizi zinashoot motion yoyote ile iwe sarakasi, diving wakati wa kuogelea, mtu anaekimbia etc, compare na led utazozikuta kwenye simu zisizojielewa.

Mkuu nitaomba upige picha ya mbali zaidi ili nizoom niprove hilo... Maana nikiangalia hizi picha umepiga karibu sana tena ukiwa room!
 
Tecno ni nyoko mazee, Samsung tupa kule, ubora wa camera za Tecno uko juu sana, Samsung wanadanganya na screen ya HD, ukitoa picha toka Samsung ukaiweka Kwenye simu ingine ni ya kawaida mno

Sent using Jamii Forums mobile app
hata siku moja kijana tecno itabaki kuwa mfano wa simu na samsung,iphone na sony na og nyenginezo zitabaki kuwa simu kwa hiyo pambana na hali yako

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Tecno ni nyoko mazee, Samsung tupa kule, ubora wa camera za Tecno uko juu sana, Samsung wanadanganya na screen ya HD, ukitoa picha toka Samsung ukaiweka Kwenye simu ingine ni ya kawaida mno

Sent using Jamii Forums mobile app
afu jua kutofautisha kati ya super armoled na lcd

Back
Top Bottom