Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Ubora wa camera ya Tecno camon cx

ec6a4ccad862f23bc388b117a6d7fca9.jpg
1bc9cd72bf5769a562db4c22b9418600.jpg

Tangazo za tecno UK hili hapa anayesema tecno ni ya africa tu

ploudly ngosha
Tangazo kuonyeshwa haimaanishi kwamba eti nchi zote hilo tangazo linapoonekana hio bidhaa ipo.

mfano ukiangalia dstv league ya uingereza kuna matangazo ya etisalat, je Tanzania kuna etisalat? kenya kuna etisalat? si ipo Nigeria?

Tecno wana mkataba na man city hivyo tangazo lao litaonyeshwa lakini haimaanishi zinauzwa ulaya.

na siku akizindua tu simu official huko kina Nokia, Ericson, Microsoft etc wanagonga hodi watataka hela zao,
 
Kama aijapimwa you mean "NO RESEARCH NO .......TO...." malizia huo usemi
kwako wewe, ila kwa mtu anaeiijali hawezi tumia kitu chenye risk,

mbona huendi kwenye jalala kula kwani kila kitu jalalani kimepimwa kina madhara?
 
Kila mtu anavutia kwake, fair comparison hii hapa:
Tecno Phantom 6 Plus vs Samsung Galaxy S7 Edge

si kweli mkuu hapo hizo ni list ya specs hakuna comparison, ngoja nikuulize maswali

-wapi wameandika aina za ram? ni ddr3 au ddr4 ni single chanell au dual chanell?
-hizo storage ni zipi? ni emmc au ufs zina speed kiasi gani?
-sensor ya camera ina ukubwa gani? ina ois?, aperture je, kama haina ois ina hata eis? inarecord 4K? kama ndio fps ngapi?, ni wide angle? etc

ukiangalia tu hayo mambo matatu utaona hakuna comparison hapo.
 
Hivi mkuu na hizi simu za infinix unazionaje maana sizielewi na zimeshika sana chat kwa sasa.
 
Mkuu hivi unafahamu tecno inauzwa africa tu,tena sio nchi zote,sasa utanishawishi vipi kuwa simu ambayo hata FCC hawaitambui inaweza kuwa na kamera bora kuliko flagships za samsung na wengineo wanao compete worldwide.?
Eti mji wa Manchester iliko ile timu ya mpira inaitwa Manchester City ambako hua naliona tangazo la Tecno upo nchi gani hapa Afrika?
 
kwako wewe, ila kwa mtu anaeiijali hawezi tumia kitu chenye risk,

mbona huendi kwenye jalala kula kwani kila kitu jalalani kimepimwa kina madhara?
Hao wanao ziunda tecno wanaakili kuliko uzao wako wote arafu unaleta dharau !! Risk gani kama wewe una akili kuzidi waliyounda tecno kwanini usiipime wewe ubora wake uje na ushahidi mana naona unakata mauno kwa muziki usio uelewa .umesema aijapimwa basi ipime wewe na kwataarifa yako siyo rahisi mzungu kukwambia ubora wa tecno kwa sababu wanaiogopa ingekua siyo bora wangesha ipima sikunyingi na kuanika adharani
 
mkuu tecno imetengenezwa wapi? mpaka leo humu jukwaani kuna mamia ya thread hakuna anae jua

-Tecno inapotengenezwa ni wapi
-makao yao makuu yalipo
-maabara zao wanapofanyia tafiti etc

na pia utuambie huyo tecno kagundua nini kwenye hizo simu zake zaidi ya kucopy vitu ambavyo vimeshagunduliwa.
 
si kweli mkuu hapo hizo ni list ya specs hakuna comparison, ngoja nikuulize maswali

-wapi wameandika aina za ram? ni ddr3 au ddr4 ni single chanell au dual chanell?
-hizo storage ni zipi? ni emmc au ufs zina speed kiasi gani?
-sensor ya camera ina ukubwa gani? ina ois?, aperture je, kama haina ois ina hata eis? inarecord 4K? kama ndio fps ngapi?, ni wide angle? etc

ukiangalia tu hayo mambo matatu utaona hakuna comparison hapo.
Acheni ujinga jamani kwani Samsung hawana simu zenye uwezo tofauti zote zina ram 4 GB au au zote storage 64 GB mfano zipo Samsung zina camera 4
Sasa hapo atuelewani kijinga
 
hahaaha nimependa watumiaji wa tecno wanavyo jiamini wametuma picha nyingi kuliko wenzao ili kuonyenya camera zao ziko fiti chakushangaza wanaoziponda wanaambiwa tuma picha wanatoa maelezo sijui wanaogopa nn tumeni picha ya simu zenu mnazo zikubali bana acheni maneno
 
mkuu tecno imetengenezwa wapi? mpaka leo humu jukwaani kuna mamia ya thread hakuna anae jua

-Tecno inapotengenezwa ni wapi
-makao yao makuu yalipo
-maabara zao wanapofanyia tafiti etc

na pia utuambie huyo tecno kagundua nini kwenye hizo simu zake zaidi ya kucopy vitu ambavyo vimeshagunduliwa.
Ukiona hivyo hujue tecno wana akili kuzidi hao unao wasifia hadi FBI na CIA wameshindwa kujua inatengenezwa wapi kweli tecno no noma naifananisha tecno na raisi wa North Korea kamanda Kim ijapokua anapondwa na wehu kila siku anazidi kutisha labda TECNO ANATENGENEZA MKOREA WA KIM tuzidi kumuunga mkono kwa kuzitumia kwa AKILI NA NGUVU NA HASIRA ZETU ZOTE .BIGUP KIM
 
hahaaha nimependa watumiaji wa tecno wanavyo jiamini wametuma picha nyingi kuliko wenzao ili kuonyenya camera zao ziko fiti chakushangaza wanaoziponda wanaambiwa tuma picha wanatoa maelezo sijui wanaogopa nn tumeni picha ya simu zenu mnazo zikubali bana acheni maneno
Hao hata kupiga picha awajui wanajua kujionyesha tu mitaani kuwa wanamiliki iPhone na Samsung
 
Acheni ujinga jamani kwani Samsung hawana simu zenye uwezo tofauti zote zina ram 4 GB au au zote storage 64 GB mfano zipo Samsung zina camera 4
Sasa hapo atuelewani kijinga
na ndio maana watu wanaomba ushauri na kushauriwa, na simu sio samsung tu, zipo xiaomi, huawei, lg, Htc, oppo, oneplus etc mtu unashauriwa kwa kile kilicho bora na sio brand. siku tecno wakitengeneza simu bora watu pia watairecomend, ila wakiendelea kulipua hakuna mtu atakaerecomend
 
Ukiona hivyo hujue tecno wana akili kuzidi hao unao wasifia hadi FBI na CIA wameshindwa kujua inatengenezwa wapi kweli tecno no noma naifananisha tecno na raisi wa North Korea kamanda Kim ijapokua anapondwa na wehu kila siku anazidi kutisha labda TECNO ANATENGENEZA MKOREA WA KIM tuzidi kumuunga mkono kwa kuzitumia kwa AKILI NA NGUVU NA HASIRA ZETU ZOTE .BIGUP KIM
ngoja nikupe utofauti wa kim na tecno.

1. kim anatengeneza silaha zake mwenyewe na unique wakati tecno wao wanasubiria makombo, technology outdated wao hutumia kwenye simu zao ukitaka ushahidi nitatoa.

2. kim anawatisha wamarekani haogopi wazungu, tecno wanaogopa marekani na ulaya ushindani ni mkubwa wao wanakuja ku dump Africa

hivyo tecno ni vise versa ya kim.
 
Naomba kujua hivi kwanini hizi Tecno Phantom bei zake ziko juu kulinganisha na Tecno nyingine?
 
ngoja nikupe utofauti wa kim na tecno.

1. kim anatengeneza silaha zake mwenyewe na unique wakati tecno wao wanasubiria makombo, technology outdated wao hutumia kwenye simu zao ukitaka ushahidi nitatoa.

2. kim anawatisha wamarekani haogopi wazungu, tecno wanaogopa marekani na ulaya ushindani ni mkubwa wao wanakuja ku dump Africa

hivyo tecno ni vise versa ya kim.
Hata Kim mlimponda hivyo hivyo kuwa ni makombo ana anachojua mkawaita wakorea wa Kim kuwa ni empty mind sijui brain wash Leo mmekubali wenyewe kua jamaa ni noma naona mmeanza kumsifia IPO siku trump atamsifia tu pia IPO siku utaisifia tecno hata wewe ila sitaki uje uniite nabii TECNO HAVE A BRIGHT FUTURE
 
Back
Top Bottom