Kaka
Kaka camera za tecno hazijapitishwa na OIS.
Tecno wanawalaghai wateja wao kwa kuwapa specs zisizo kamili mtu akiambiwa tu 16mp basi anachanganyikiwa.
Tecno Camera zao hawaweki lens walizotumia.
Tecno hawaweki image sensor size za camera zao.
Hawaweki size za aperture na baadhi ya details.
Kwa sababu wanajua sisi waafrika ni uelewa wetu wa vifaa vya electronic ni mdogo.
Huwezi linganisha 16mp ya tecno na 12mp ya iphone au samsung kwa sababu sensor za tecno ni ndogo hivyo kupelekea image quality kupotea pindi inapokuwa zoomed pia aperture zao ndogo hivyo test za kwenye dim light ina fail.
Jamani nawaasa watumiaji wa tecno msidanganyike na wingi wa pixels wa simu hizo uwezo wa camera zao ni mdogo.
Naomba anayesema tecno wana camera bora aje na source na kuniambia sensor size ya hio cx,lens iliyotumiwa na imethibitishwa na OIS pia na size ya aperture yake.
Akizipata naamini tecno wana camera bora kuliko simu zote duniani.
Mfano lumia 1020 ukienda gsmarena wameweka detail zao.
Camera 41mp.
Carl zeiss lens.
Sensor size wameweka.
Sasa tafuta tecno unakuta tu 16 mp mwisho.
Hiyo ni picha ya lumia 1020 ya 2013 Jaribu kuizoom uone quality halafu leta picha ya hio camon cx.