Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 13,056
- 18,720
Pia madhara ya mionzi yanasababishwa pia na utumiaji waafrika tunatumia simu ovyo ovyo kuongea ujinga ujinga utakuta watu wanapigiana simu wanaongea ujinga ujinga dakika kibao1. kama haiendi nchi zinazopima itapimwaje? inakuja huku kwetu shamba la bibi wanapokuja ku dump.
2. hakuna kiwango kimoja kila nchi ina test yake.
-marekani yeye hutumia FCC, na zipo nchi nyengine ambazo hutumia standard ya marekani yaani FCC kama vile india, kiwango cha marekani ni 1.6 watts per kilogram
-Ulaya wao wana EU na CENELEC yao wao ni 2W per kg
-Australia wao ni 1.6 kama us etc
Specific absorption rate - Wikipedia
soma zaidi hapo.
na WHO hawa hapa
Mobile phone radiation is a possible cancer risk, warns WHO | SAR Shield - Cell Phone Radiation Protection | Mobile phone radiation chart