Ubora wa camera ya Tecno camon cx

infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
244
159
Habari wakuu,

Naomba kuuliza; je simu ya tecno camon cx ina ubora huo wa camera ambao wanaunadi, Je ni simu ipi ya Infinix ambayo in camera nzuri?
 
Yap iko vizuri sana, it's real 16Megapix front and rear camera. Ninaitumia...sijajua tu kama cover zake zimeshatoka coz sijavutiwa na hz cover za tecno wenyewe walizozitoa. Kama budget yako inaruhusu ichukue tu mkuu
 
Mkuu hivi unafahamu tecno inauzwa africa tu,tena sio nchi zote,sasa utanishawishi vipi kuwa simu ambayo hata FCC hawaitambui inaweza kuwa na kamera bora kuliko flagships za samsung na wengineo wanao compete worldwide.?
We acha kusema uongo tecno zinatumiwa Africa tu???you can't be serious nenda Dubai ,uone tecno zilivyo kama ubwabwa nimetumia brand nying za simu ila simu za tecno za siku hizi camera wanaongoza
 
Hahah mkuu dubai na wapi kwengine.unaishindanisha camera ya tecno na camera ya simu gani mkuu
 
Yap iko vizuri sana, it's real 16Megapix front and rear camera. Ninaitumia...sijajua tu kama cover zake zimeshatoka coz sijavutiwa na hz cover za tecno wenyewe walizozitoa. Kama budget yako inaruhusu ichukue tu mkuu
Thanks mkuu for reply!
 
We acha kusema uongo tecno zinatumiwa Africa tu???you can't be serious nenda Dubai ,uone tecno zilivyo kama ubwabwa nimetumia brand nying za simu ila simu za tecno za siku hizi camera wanaongoza
hili jukwaa huwa hatupendi maneno mengi? una Tecno gani? chagua kitu common kama hela, kalamu, funguo etc piga picha then kitume humu na wenye simu zao nao watafanya hivyo hivyo then utajua kama wanaongoza ama la.
 
Techno Phantom6
 
Attachments

  • IMG_20170512_163540.jpg
    IMG_20170512_163540.jpg
    61.5 KB · Views: 167
Back
Top Bottom