Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!

Nadhan wew ndo hujui kingereza, ulichokiandika 'grammer' si sahihi bali ni 'grammar' . Mkiambiwa elimu bure mnapinga sjui msaidiweje!
 
Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!

Yaani wewe jamaa ni juha kama jiwe.

Halafu "grammer" ndo nini?

Najua hujui kwa sababu u juha kama jiwe.
 
Hakuna mtu wa kuvunja Amani kwa maana asilimia 70% ya Watz waliopiga kura wameonyehsa imani na CCM na siyo fisadi Lowasa, hivyo hakuna Amani itakayovunjwa labda kati ya Mbowe na Lowasa wakati wanadaiana hela lkn siyo ndani ya ardhi JMTZ, kuna sababu kwanini tumeichagua CCM kwa wingi wetu!

.
ccm iendelee kuchokonoa tu amani ya Tz, kitakaponuka ndio watajuta na kugundua kuwa walikua wanakata tawi ambalo nao wamelikalia. ccm imedhulumu haki sana hasa huko Znz sasa ndio imefika arobaini.
Hili nilisemalo sasa ni kamatu sauti ya mtu aliaye nyikani!
 
Haya, vidume wameingia!
Utasikia eti wanaingilia maswala ya ndani ya nchi na hapo ndipo mtajua gharama ya hizo barabara na vyandarua mlivyokuwa mnapiga navyo pus-ups.
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
JF katika ubora wake, Nadhani atakuwa amekuelewa huyo aliyekuwa anatilia mashaka hiyo Habari.

Ameshakimbia huyo..... harudi tena... ningekuwa muimba taarabu ningesema "limeshuka"
 
Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!
Babaroza Unyesha hiyo grammar mbovu iko wapi kwenye statement ya ubalozi wa Marekani. Utaonaje grammar mbovu wakati wewe umeandika neno moja tu la kingereza kwa makosa? Poor you. Nani kakwambia neno grammar linanadikwa grammer. Kajipange tena. Halafu kabla ya kukurupuka fanya homework. Tembelea website ya ubalozi wa marekani nchini Tanzania utakuta hiyo statement. Lumumba bwana, hasara tupu. Mnatumika kichwa kufugia nywele tu wala siyo kufikiri.
 
Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!

Umeelewa alichoandika?
 
Kusema tu "Kiingereza kilichotumika kina grammer [sic] mbovu sana" bila kuonesha ubovu huo ni kudhihirisha uCCM wako. Onesha ubovu huo wa grammar (Si grammer!) unazongumzia: Press Releases 2015 | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States
 
Wee jamaa jingah kweli, yaani ZEC wafute uchaguzi mida ya saa saba na ndani ya masaa manne ubalozi utoe tamko?
Wenzetu huwa hawakurupuki kudandia matukio.
Alafu kizungu hicho sio cha ubalozini.
Kaka vipi soma thread utapata majibu. Angalia website yao. Just a simple research. Kwa nini mnakuwa mbumbumbu hivi? Kukurupuka tu!elimu elimu elimu!
 
Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Zanzibar

Serikali ya Marekani imestushwa sana na tamko la hivi karibuni la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ambapo ametamka kusudio lake la kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa Zanzibar. Hatua hii inasitisha mchakato wa uchaguzi uliofanyika vizuri na kwa amani, kama ilivyo elezwa na waangalizi wa uchaguzi kutoka Ubalozi wa Marekani, Jumuiya ya Ulaya, Jumuiya ya Madola na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika pamoja na kusitisha zoezi la majumuisho ya kura lililokuwa linakaribia kukamilika. Tunatoa wito wa kuondolewa kwa tamko hilo na kuzisihi pande zote kudhamira kwa dhati kuukamilisha mchakato huu wa kidemokrasia kwa uwazi na kwa Amani. Watu wa Zanzibar wanastahili jambo hilo.

Source: Facebook Page ya U.S Embassy Tanzania
 
Back
Top Bottom