Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 190
Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!
Uh kina 'grammer' mbovu sana...mkosoaji wa kiingereza anaandika 'grammer' na ameweza kutambua kosa bila kutambua kama yeye mwenyewe hana hata uwezo wa kujua grammar na grammer ni maneno mawili tofauti. Watanzania hiki ndicho kinachotuponza kushabikia sindano ya moto inayotayarishwa kukudunga na unamuunga mkono anayechemsha sindano hiyo.....suicide