Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

Releasing a statement is not enough.. USA and other European community should impose economic sanctions immediately to the Republic of Tanzania. Wezi wakubwa CCM.

Hiyo haya majamaa yatamudu hata mugabe aliwekewa viongozi wezi wenzake wakamsaidia!
Hapa ni peoples power tu.
 
Hiyo haitoshi wayapige sanction hakuna kwenda kutibiwa mapu.m.bu na mabusha yao us. wayanyime na dawa mase.nge haya pumbavu kabisa kenge kasoro mkia
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole, hii ni laana ya Kagame kwa mkulu, Mwaka huu tutaisoma
 
Hahah unachekesha ndiyo maana Mkapa aliwaita malofa na Wapumbavu sasa unafikiri Tanzania ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi ndiyo utamuathiri Lubuva au Kikwete?
Seriously unataka kutuambia hujui madhara ya vikwazo kwa nchi ambayo bajeti yake ni tegemezi? If so then hustahili kuwa kwenye hili jukwaa, it is too big for you.
 
wazanzibar tunnajua kuwa CCM wamekosa bao la mkono ndio maana wakafuta ili cuf isitawale ZNZ .SASA
 
Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!
Jinga wewe tena pumbavu. Kiingereza hujui halafu unajitia madole na kunusa mwenyewe.
 
Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!
We mwenyewe rudi shule eti grammer lo! Grammer au grammar?
Ndio maana mkaambiwa mnahitaji elimu.
Ushaoneshwa link sasa unarukia kwa oh fisadi.......unanitia kinyaa!
 
Huyo wanaempigia chapuo kuchukua uongozi wa nchi hata acha kutembeza bakuli kuomba msaada kwani bajeti yeti zaidi ya 40% tunategemea wahisani na hususani kutoka USA sasa tutarajie hao jamaa kukata mosaada hiyo iwapo uchaguzi huu utakuwa kama unavyo endelea na hapo ndio wale wanaoshabikia "HAPA KAZI TU" wata geuka ' HAPA GIZA TU" ARV tunategemea USA, Alu za malaria Tuantegemea USA, Dawa za TB tunategemea USA kwa hiyo tutegemee majanga makubwa awamu hii.
 
Tupe mfano wa sentensi moja tu hapo ambayo haiko sawa grammatically. Wewe umetumia neno moja tu la kizungu na umeshindwa hata kuliandika sawa, eti grammer. Halafu unataka tukuamini kama uko grammatically correct. Mijitu mengine bwana

Mkuu kwa kua JF wametoa like button, sasa kula like hiyo kwa comment. Nlitaka kumuuliza jamaa the same thing
 
Ccccm wajuwe kuw wana nchi walipo fika hawajapata watu wakuwapa viwembe siku wakipata watakimbia
 
Back
Top Bottom