Ni kweli lakinj kuna haja ya kuwa na muafaka!
Na ndicho wanachotaka CCM. Kila saa wanamuibia seif ushindi wake halafu wanamuita kwenye meza ya "maridhiano na muafaka" na anawaachia. Safari hii hayo mambo ya muafaka hakuna..wampe seif haki hake.
Ni kweli lakinj kuna haja ya kuwa na muafaka!
Na ndicho wanachotaka CCM. Kila saa wanamuibia seif ushindi wake halafu wanamuita kwenye meza ya "maridhiano na muafaka" na anawaachia. Safari hii hayo mambo ya muafaka hakuna..wampe seif haki hake.
Hakuna mtu wa kuvunja Amani kwa maana asilimia 70% ya Watz waliopiga kura wameonyehsa imani na CCM na siyo fisadi Lowasa, hivyo hakuna Amani itakayovunjwa labda kati ya Mbowe na Lowasa wakati wanadaiana hela lkn siyo ndani ya ardhi JMTZ, kuna sababu kwanini tumeichagua CCM kwa wingi wetu!
Huu siyo Ujumbe ktk Ubalozi wa Marekani na sababu kubwa ni Moja tu Kiingereza kilichotumika kina grammer mbovu sana, hivyo rudi na jaribu kurekebisha grammer labda utaaminika kidogo, achilia mbali hata anwani ya aliyesema hayo!
Nadhani huelewi katiba ya Zanzibar inavyosema. Maridhiano lazima au hakuna amani! Ushindi wa Seif hata kama upo ni kwa kura kadhaa tu. Zanzibar hakuna outright mshindi!
Kwahiyo atoe ushindi wake sadaka kwa ccm for the sake of maridhiano? Sasa sauti ya wazanzibar kupitia sanduku la kura inahaja gani kama wataamua "kuridhiana" kuipuuza?
Unaijua katiba ya Zanzibar lakini? Serikali lazima iwe ni ya umoja wa kitaifa!
Triple "K" yaani Kagame, Kenyatta na Kaguta Museven bila kumsahau na Nkuruzinza wanamwangalia Kikwete na viongozi wake wa chama kama Kinana ambao eti walikuwa wapatanishi kwa mataifa yanayogombana wao wanavyokandamiza demokrasia ndani ya Tanzania yaani wanaubiri kitu wasichokitenda ni aibu sana.
Kiingereza ndio lugha tu ya kuishi duniani?
Hao Wamerikani hawakusema chochote CUF ILIPOJITANGAZIA USHINDI
Marekani nao wamekurupuka wamesahau zile hanging chads za Bush Vs Gore khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.