Ubakaji JKT(mafunzoni)

Ubakaji JKT(mafunzoni)

Status
Not open for further replies.
Mkuu ulitegemea aseme hayo kwenye vyombo vya habari!??, tayari ameshapoteza mwanawe apoteze na kucha na meno tena!? mi naona bora hajatamka kabisa...

Ni kweli mkuu, inawezekana kabisa hilo unalolisema, maana yule mzee alisisitiza kuiona ripoti ya postmortem ambayo anadai hata mwili wa mwanaye haujafanyiwa hiyo postmortem mambo yamefichwafichwa tu.Na kaapa kuwa watoto wake wengine hatowapeleka huko hata iweje. a.k.a Liwalo na liwe by Pinda
 
naona limenigusa,ni kwa vile ni jana tu niliambiwa kuna mtoto hamjui baba yake toka amezaliwa na hata mama yake akiulizwa hana uhakika baba wa mtoto hasa ni nani,mama alienda jeshini akarudi na mtoto.sasa hapo wanaenda kupewa uzalendo au uzalisho?
 
Kwani kama ni lazima mafunzo ya jkt yawepo hakuna uwezekano kuwa na wakufunzi wa kike kwa wahitimu wa kike?Lisemwalo lipo kama halipo laja

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hii nchi sasa imezidi, ukiwa mtoto wa mama jeshini ni lazima ulione chungu, serikali ijipange kuja kuwachukua wengine wasiopitia huku maofisini, waanzie ma graduate...
 
Ilishawahi kusemwa kwa nidhamu ya askari wetu wa sasa,na hawa watoto wetu wa kike wa sasa,ni lazima haya yatokee,aya mafunzo sioni faida yake kwa kweli,sijui ni mbinu mpya ya wenzetu kufanya mobilization kwanza au ni nini?.
 
Ww mtoa taarifa una uhakika na habar hyo mm nmepta jkt hakuna vitu kama hvyo ugum wa mafunzo ndo unawafanya watoto wenu waropoke upumbav huu.

Kwa jinsi unavyoandika kwa style ya kifacebook ni dhahiri kuwa hujapita JKT kwakuwa tuliopita huko tunaufahamu ukweli wa matukio kama haya ni ya kawaida sana.
 
safi sana. labda dada yake ni malaya na anagawa sana huko ndio maana kagushi hii habari. ukienda huko malaya utachapwa tu,ukiwa decent uko safe.
Ww mtoa taarifa una
uhakika na habar hyo mm nmepta jkt hakuna vitu kama hvyo ugum wa mafunzo
ndo unawafanya watoto wenu waropoke upumbav huu.
 
Serikali haina dini umeanza kutuletea udini wako mdini mkubwa wewe,jk aliwahi kuwa mwanajeshi yeye dini gani.

Yaani wewe ndiye bonge la bweege. Mtz. Mzalendo amesema madada wa kiislamu halafu wewe unakurupuka kumtaja JK. Kwani JK ni dada???bureee kabisa...
 
R.I.P Halima Kitangilwa
Hii itapunguza munkari wa vijana kusoma kwa bidii na kufaulu, manake watajua JKT inawasubiri na hawana uhakika kama watapona wakienda huko.. Kwa mantiki hii kuna haja gani ya kufaulu?
 
Nashukuru siku hizi tuna uhuru wa kutoa ya moyoni na watu wakafumbuka macho coz hawa kipindi cha nyuma hatukuweza kuya report;

haya yanafahamika ila uhuru wa kuya report ndo shida..... Muda c mrefu mrefu utasikia mtu katekwa/yupo ana ng'olewa meno bila ganzi.

Inshort yanafahamika sana muhimu ni idara zinazohusika kupewa meno tuuuuuuuu.

________________________
charity begins at home
 
safi sana. labda dada yake ni malaya na anagawa sana huko ndio maana kagushi hii habari. ukienda huko malaya utachapwa tu,ukiwa decent uko safe.

Kuna binti mmoja nilikuwa naye coy moja,kasoma NGANZA Sec, binti kapewa uzuri wa umbo na tabia. Tulipo fungua mafunzo alisumbuliwa saana,ilifika wakati coy nzima tulijua,wakumpa ushauri aende kuripoti kwa Sir Major tulikuwa wengi. Lakini kilichomtokea huyo binti kila alipokuwa anaenda kutoa taarifa ni majuto hata wenye umri wa baba yake walimtaka pia. Alisumbuliwa vibaya,tukiwa tumekusanyika usawa wa coy walimfanyia dhihaka za aina mbalimbali.
Siku ngumu kwake zilianza tulipoenda Endurance training Binti alifanyiwa jambo la ajabu sana,hakuna asiye choka wengine tulipochoka tulihimizwa kwa maneno lakini kwa Mwenzetu viliongea Viboko,ni kama walimkalili kila afande alikuwa adui yake.
Mwisho wa siku aliingia kumi nane za C.I, akawa kipozeo na usumbufu toka kwa Privates wa jeshi,koplo,na wengineo.

NB:
Wengine tuna kumbukumbu mbaya zaidi juu ya jeshi kuliko hata yale mazuri tuliyopata,Mathalani kamwe sitakuja mruhusu binti yangu akajiunge na JKT,na sio tu Jkt maana wachafuzi wengi ni jw basi secta yoyote ya ulinzi na usalama wa raia.
Mkuu kuna matukio mengi jeshini yakianikwa yanaweza jaza server za JF.
Hizi habari ni bora zingeandikwa kama makala kwenye magazeti yanayowafikia waTanzania waliowengi,Akina Zitto waliyaona haya,na tuliwasimulia pia mambo tunayofanyiwa ( Wao walikuwa na say kubwa wakati wa mafunzo) Lakini wapi.
Hivyo mengi yanayoletwa hapa yanaukweli ndani yake.
 
Kama habari hizi ni za kweli basi ni utovu mkubwa wa nidhamu na scandal kubwa kwa jeshi ..........

Kama unyama huu unafanyika kati makambi haya, basi Hakuna tofauti kubwa kati ya makambi haya na zile concentration camps za NAZI wakati wa Hitler. Na kimsingi, kama watoto wetu wakienda huko UTU wao unadhalilishwa basi hakuna maana ya haya makambi ku exist tena, bora yafungwe tu..kama kuna haja ya kufundisha watu uzalendo basiwatu wanaopaswa kufundishwa uzalendo ni viongozi na famili zao waende huko wakabakwe na kulawitiwa wao lakini sio watoto wa maskini..viongozi ndio wasio na maadili na uzalendo, ndio wanaodidimiza nchi kwa matendo yao ya rushwa na kujilimbikizia mali as if wataenda nazo mbinguni...hii ni habari mbaya sana, ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unafanyika. Kama hanabari hii inaukweli, basi kama jamii tunapaswa ku act haraka sana kuhakikisha haki inatendeka....
 
Kuna binti mmoja nilikuwa naye coy moja,kasoma NGANZA Sec, binti kapewa uzuri wa umbo na tabia. Tulipo fungua mafunzo alisumbuliwa saana,ilifika wakati coy nzima tulijua,wakumpa ushauri aende kuripoti kwa Sir Major tulikuwa wengi. Lakini kilichomtokea huyo binti kila alipokuwa anaenda kutoa taarifa ni majuto hata wenye umri wa baba yake walimtaka pia. Alisumbuliwa vibaya,tukiwa tumekusanyika usawa wa coy walimfanyia dhihaka za aina mbalimbali.
Siku ngumu kwake zilianza tulipoenda Endurance training Binti alifanyiwa jambo la ajabu sana,hakuna asiye choka wengine tulipochoka tulihimizwa kwa maneno lakini kwa Mwenzetu viliongea Viboko,ni kama walimkalili kila afande alikuwa adui yake.
Mwisho wa siku aliingia kumi nane za C.I, akawa kipozeo na usumbufu toka kwa Privates wa jeshi,koplo,na wengineo.

NB:
Wengine tuna kumbukumbu mbaya zaidi juu ya jeshi kuliko hata yale mazuri tuliyopata,Mathalani kamwe sitakuja mruhusu binti yangu akajiunge na JKT,na sio tu Jkt maana wachafuzi wengi ni jw basi secta yoyote ya ulinzi na usalama wa raia.
Mkuu kuna matukio mengi jeshini yakianikwa yanaweza jaza server za JF.
Hizi habari ni bora zingeandikwa kama makala kwenye magazeti yanayowafikia waTanzania waliowengi,Akina Zitto waliyaona haya,na tuliwasimulia pia mambo tunayofanyiwa ( Wao walikuwa na say kubwa wakati wa mafunzo) Lakini wapi.
Hivyo mengi yanayoletwa hapa yanaukweli ndani yake.
Kiukweli hakuna haja ya kuwapeleka mabinti huko isipokuwa tu wale manunda wanaojiaminisha na sera zao feki za usawa wa wanaume na wanawake. Kazi ya jeshi haina asili ya uhusishwaji wanawake bali walihusishwa tu miaka ya hivi karibuni baada ya kugundulika maaskari wakikaa maporini mda mrefu bila kupata kipozeo walikuwa wanageukana; kwa hiyo kimsingi wanawake wanaandikishwa kwenye majeshi kuwa vipozeo sasa wanapokamuliwa na wazazi kulalamika inakuwa haiendani. Hakuna sababu ya msingi kabisa kuruhusu mabinti waende JKT ni ukichaa mtupu na kuchochea yale yanayo julikana kuhusu uwepo wa wanawake majeshini
 
Kuliko mwanangu ajiunge na hili jeshi bora abadili uraia wa hii nchi..ilaaniwe jkt,ccm na wote wanaoishabikia.
 
nimesikia baba wa marehem halima akilalamika kwenye kipind cha milad ayo clouds fm ni kweli ila wao wanaxema kafa kwa malaria.kuna umuhimu gan wa kwenda jeshn ikiwa hawajali afya za wanamafunzo?,ina maana serikali haioni hl? tanzania ni nchi ya watoto wa viongozi 2? tujuzane mtoto wa kiongoz gani ambae mwaka huu kaenda jkt hasa wabunge na mawaziri hata rais? jibu hakuna kabixa najua hili.sheria,uwongo dhuruma na matendo maovu ni hapa2 duniani haki mbinguni.rest in peace sister halima.Amen.
If it exists anyway! Cha msingi ni kupigania haki yako hivi sasa pale ulipo, usiisubirie mbingu ambayo haipo.
 
Hii Taarifa ina ukweli mkuu tatizo kupata ushahid ni ngumu sana kwa sabab wanaotoa taarifa ni waathirika na wanajeshi wachache wenye utu....hapa ni kuwahoji vijana wote walio shiriki mafunzo hayo ili watoe ushahid...
Je mlitaka mpaka watu waweke video hapa? kindly mashirika ya haki za binadamu fuatilien hili jambo
 
Kuna binti mmoja nilikuwa naye coy moja,kasoma NGANZA Sec, binti kapewa uzuri wa umbo na tabia. Tulipo fungua mafunzo alisumbuliwa saana,ilifika wakati coy nzima tulijua,wakumpa ushauri aende kuripoti kwa Sir Major tulikuwa wengi. Lakini kilichomtokea huyo binti kila alipokuwa anaenda kutoa taarifa ni majuto hata wenye umri wa baba yake walimtaka pia. Alisumbuliwa vibaya,tukiwa tumekusanyika usawa wa coy walimfanyia dhihaka za aina mbalimbali.
Siku ngumu kwake zilianza tulipoenda Endurance training Binti alifanyiwa jambo la ajabu sana,hakuna asiye choka wengine tulipochoka tulihimizwa kwa maneno lakini kwa Mwenzetu viliongea Viboko,ni kama walimkalili kila afande alikuwa adui yake.
Mwisho wa siku aliingia kumi nane za C.I, akawa kipozeo na usumbufu toka kwa Privates wa jeshi,koplo,na wengineo.

NB:
Wengine tuna kumbukumbu mbaya zaidi juu ya jeshi kuliko hata yale mazuri tuliyopata,Mathalani kamwe sitakuja mruhusu binti yangu akajiunge na JKT,na sio tu Jkt maana wachafuzi wengi ni jw basi secta yoyote ya ulinzi na usalama wa raia.
Mkuu kuna matukio mengi jeshini yakianikwa yanaweza jaza server za JF.
Hizi habari ni bora zingeandikwa kama makala kwenye magazeti yanayowafikia waTanzania waliowengi,Akina Zitto waliyaona haya,na tuliwasimulia pia mambo tunayofanyiwa ( Wao walikuwa na say kubwa wakati wa mafunzo) Lakini wapi.
Hivyo mengi yanayoletwa hapa yanaukweli ndani yake.
Ninajuta kumpeleka binti yangu huko. Bora asingeenda jeshini, akapelekwa hata uganda kusoma degree yake. Just imagine hizi ndiyo division one, two na three za nchi ndiyo zinakwenda kuharibiwa hivi? Tunabaki na nini sasa katika nchi. Oooh, my God, I wish ningeweza kumrudisha binti yangu right today.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom