Ubakaji JKT(mafunzoni)

Ubakaji JKT(mafunzoni)

Status
Not open for further replies.
Kwa sie tuliopita jesh,swala la kufanya mapenzi holela lipo kwenye kambi zote,na sio 2 Tanzania,hyo ni dunia nzima.
Kufanya mapenzi holela na KUBAKA ni vitu viwili tofauti, kwani hata vyuoni kuna mapenzi holela, this is a serious issue my friend, kama ulipitia jeshi na ubakaji ulikuwa ni kitu cha kawaida ni zama za kale kwani hata pa kuongelea ulikuwa huna, angalia mabadiliko ya leo
 
Ninajuta kumpeleka binti
yangu huko. Bora asingeenda jeshini, akapelekwa hata uganda kusoma
degree yake. Just imagine hizi ndiyo division one, two na three za nchi
ndiyo zinakwenda kuharibiwa hivi? Tunabaki na nini sasa katika nchi.
Oooh, my God, I wish ningeweza kumrudisha binti yangu right
today.

this is too damn sad.
hii Nchi inakoelekea jamani... np comment
 
Kufanya mapenzi holela na KUBAKA ni vitu viwili tofauti, kwani hata vyuoni kuna mapenzi holela, this is a serious issue my friend, kama ulipitia jeshi na ubakaji ulikuwa ni kitu cha kawaida ni zama za kale kwani hata pa kuongelea ulikuwa huna, angalia mabadiliko ya leo


Huyo jamaa mpuuzi anataka kutumia makosa mawili kuhalilsha moja. Hata kipindi kile yalikua yanamadhara kwa wahusika lakini hapakua na njia ya kulalamika.
 
raia kuwe na matumizi ya akili za kutosha kabla ya kuropoka. wengiwe ni watu wa karibu wame tutoka.. sasa kuanzia kwenye who is said kua mkubwa na what are qualities za ukubwa na zip ni haki za mkubwa.. kama ni kuamua then walioenda walienda because walitaka au shuruti?? sasa kama amtoto wa mkubwa ange faliki ingeishia hivi?? kama yana fahamika hayo kuna lililo fanyika?? kama lipo lina manufaa.. hamwez kuandaa sheria bila kuitengenezea mazingira.. watoto wa wenzenu walindwe sio kukalia kutetea kila kitu had mapunguf ya dhahil
 
Haya mambo yapo tangu zamani...kuna dada alishawahi kusimulia alipokuwa amelewa bar...alisema amefanywa sana mpaka kufika hapo alipofika.....moja ya technique ndio hiyo ya kupangwa maporini
 
Basi JKT haina maana kama hizo ndizo sifa za huko!!...nonsense pumbaf
 
Mkuu ktk hayo niliyopigia mstari umeniacha hoi. Anyway kila mtu ana mtazamo wake juu ya hili. Binafsi bado nasema siafiki , mbona wengi wamefanikiwa bila kupitia jkt. Unaposema juu ya ufisadi umeshawahi kujiuliza je hao wanaofanya ufisadi hawakupita jkt?

Mafisadi wengine wamepita JKT na wengine walikua/ni wanajeshi kabisa! Tusipokua na wananchi wenye confidence, hakuna wa kusema mbele yao!, JKT inaongeza kujiamini, bidii, ubunifu, nidhamu na uvumilivu. Hivi ni vitu muhimu sana kuwa navyo ili ufanikiwe kimaisha. Usiniulize aliefanya research hii, ni mtazamo wangu. We huipendi JKT kwa tatizo lipi?
 
Mafisadi wengine wamepita JKT na wengine walikua/ni wanajeshi kabisa! Tusipokua na wananchi wenye confidence, hakuna wa kusema mbele yao!, JKT inaongeza kujiamini, bidii, ubunifu, nidhamu na uvumilivu. Hivi ni vitu muhimu sana kuwa navyo ili ufanikiwe kimaisha. Usiniulize aliefanya research hii, ni mtazamo wangu. We huipendi JKT kwa tatizo lipi?
Haya mkuu nimekupata lkn msimamo wangu haujabadilika siipendi na sintaipenda jkt na sintashauri mtu aende.
 
Kuyabaini haya ni vigumu kama haupo kwenye system, na pia wakati wa sherehe za kumaliza mafunzo huwa wanatishia kuzungumzia hali ya mafunzo kwa uujumla ni kama wanakulisha ya kuzungumza na vyombo vya Habari.
Inawezekana wengi wenu watoto wenu wamerudi salama na wanashindwa toa ushuhuda wa kweli wa yale yalowasibu makambini,either wakiwa nao kwa namna moja walikuwa wahanga wa Hili jambo.
Kuna wachangiaji wanachangia hiu mada kimzaha saana ila omba yasimukute mwanao.
 
Natoa pole kwa familia ya marehemu Halima Kitangilwa kwa msiba walioupata. Kama kweli kifo cha marehemu Halima Kitangilwa kimetokana na kubakwa na siyo kama inavyosemekana kuwa alifariki baada ya kuzidiwa na mazoezi, basi kwa kuwa serikali ina mkono mrefu, iwatafute na kuwatia mbaroni waliohusika na ushenzi huo na kulichafua jeshi! Pia ndugu wanaosemekana ndiyo waliosema kuwa marehemu alibakwa wasiogope kusema kweli watakapohitajika kufanya hivyo.
 
Jkt inamaana kwa cye watt wa kiume bt wa kike ni kuwaharbu anaebisha amtafute dogo yeyote alietoka jkt amuulze kero kubwa ni ipi utaambiwa
 
Daa ili balaa kubakana tena
basi wazitenganishe za boys na girls na kila moja inasimamiwa na jinsia
husika
fanya tafiti sio unakurupuka tu huku jkt kuna wazazi na walezi pia ziko idara usalama kuhakikisha vijana wako salama swala la kufariki mwanafunzi moja sio hoja je huku mtaani wamefariki wangapi hawajatangazwa?
 
Natamani niliiiiiiiiiiiie mpaka hasira ziishe. Shiiiit.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom