Tatizo hapa sio wanajeshi bali mabinti zetu wenyewe kupenda maisha rahisi bila kutoa jasho. Kumbuka hao wanaodaiwa kufanyiwa hayo ni watu wazima wasomi ambao kwa umri na elimu yao wanafahamu wanafahamu nini wanafanya. Tunayashuhudia yanayo pita haya kwenye taasisi za elimu hasa vyuoni, maofisini, ajira hata uongozi mbalimbali za kitaifa, kimataifa na taasi za kisiasa. Wanawake asilimia kubwa wamefika
hapo walipo (nyadhifa) kutokana na vitendo hivi unavoita ubakaji. Hapa wa kuonea huruma na kusaidia ni mabinti wa shule ambao hawajui wafanyalo kutokana na uchanga wa akili yao.
Nyie mtakuwa mashaidi ni wangapi tumewaona wakiji chekeshachekesha na kujipitishapitisha
kwa waadhiri vyuoni au waajiri maofisini? Kama Elimu haitaweza kumkomboa mwanamke, ni
dhahiri vifaru, mizinga na makombora havtaweza pia. Somo la kujitambua linakupa Phd.
Mengine yote ni mbwembwe.
Mtoto wa form six unamuita mtu mzim na msomi?????
You must be heartless of the first order...no wonder tunashindwa kwenda mbele kama hii ndio thinking ya baadhi yetu!!!!!
Umeoa au kuolewa?????
Una ndugu wa kike au mtoto wa kike?????
Umewahi kwenda visiting days ukaona watoto wa kike ambao kwa siku hiyo wazazi au ndugu zake hawakufika????? Huwa wanalia kwa upweke tu wa kutowaona wazazi au ndugu!!!!! Itakuja kuwa huko machakani ambako hana wa kumuangalia wala kumuuliza hali yake????
Kama wewe ni mwanaume na baba wa familia kwa mawazo haya si mkeo wala wanao ambao wako salama kwa uangalizi wa baba kama wewe,usikurupuke kujibu kaa na utafakari kama huyo marehemu Halima (R.I.P) angekuwa ni mwanao au mdogo wako kweli ungechangia kama hivi?????!!!!!!
My take; Mashirika na Tasisi mbalimbali ya nyumbani na kimataifa tuyaombe kusikia kilio hikiTAMWA,TAWLA,WAMA,TGNP, MAMA SOPHIA SIMBA,WABUNGE WANAWAKE na sisi wengine tunaoweza kupaza sauti jui ya haya tushikamane kuangaza jambo hili
Vyama vya siasa kama kweli mko kwa ajili ya wananchi mara moja moja muwe mnashughulikia mambo kama haya,au huwa mnataka watu wakati wa kura na mikutano tu!!!!!
Mawaziri vivuli wapo???? Au wakishasoma budget baaaaas!!!!!!
It is so painful just from the imagination point leaving aside the fact that it may be true