george de hero
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 122
- 14
Haaa unayosema yana ukweli kama wanajeshi wenyewe wa tz ni walevi na wavuta bhangi kwanini dada zetu wasibakwee..... Huo ndo uzalendo wa tanzania taifa lenye amani
Kama habari hizi ni za kweli basi ni utovu mkubwa wa nidhamu na scandal kubwa kwa jeshi ..........
umbeya na uzandiki. Wewe ni msemaji wa jkt au familia?
nimesikia baba wa marehem halima akilalamika kwenye kipind cha milad ayo clouds fm ni kweli ila wao wanaxema kafa kwa malaria.kuna umuhimu gan wa kwenda jeshn ikiwa hawajali afya za wanamafunzo?,ina maana serikali haioni hl? tanzania ni nchi ya watoto wa viongozi 2? tujuzane mtoto wa kiongoz gani ambae mwaka huu kaenda jkt hasa wabunge na mawaziri hata rais? jibu hakuna kabixa najua hili.sheria,uwongo dhuruma na matendo maovu ni hapa2 duniani haki mbinguni.rest in peace sister halima.Amen.
Naona aibu sana kuwa Mtanzania , iam not proud to be Tanzanian .
Wewe kweli fisi 2!
umbeya na uzandiki. Wewe ni msemaji wa jkt au familia?
Watu bwana!!! Sasa huyu mleta mada ameongea hapa bila kutoa uthibitisho wowote lakini wengi wetu tunaunga mkono kama vile tuna uhakika wa 100%. Hebu tujifunze kuhoji na kujadili hoja sio kushabikia.
Kwanini umtusi mtu kwa kutoa hoja nzito kama hii... Je wewe Upo kambini na unaweza kutupa ukweli zaidi ya huu?
Tafadhali sana, kuna watu wamefiwa, kama haikuhusu basi kaa kimya
------- wahed
Binafsi siafiki kabisa suala la wanafunzi kupitia JKT . Hali hii ya kipuuzi/kinyama hata huko nyuma ilikuwepo sema kipindi kile magonjwa hayakua mengi. Lkn kwa nyakati hizi watoto wetu wataumia bure kisa uzalendo.