Ubakaji JKT(mafunzoni)

Ubakaji JKT(mafunzoni)

Status
Not open for further replies.
Binafsi siafiki kabisa suala la wanafunzi kupitia JKT . Hali hii ya kipuuzi/kinyama hata huko nyuma ilikuwepo sema kipindi kile magonjwa hayakua mengi. Lkn kwa nyakati hizi watoto wetu wataumia bure kisa uzalendo.

Sasa hivi yakifanyika yatajulikana na yataisha kwasababu ya tekinologia ya mawasiliano kupanuka! JKT ni muhimu sana tena hata mgambo ifufuliwe na iwe lazima kwa vijana wote ili tuwe na taifa lenye watu wanaojiamini wenye utaifa ndani yao! Ndio tutaweza hata kupambana na ufisadi na umasikini! Je unajua kwamba mtu akitoka JKT anakua ameongezeka kiwango cha kujiamini? Umeshawahi kuona mtu asiejiamini aliefanikiwa kimaisha? eee, acha woga, kufa kambini ni ajali ya kawaida.

Siungi mkono wabakaji na wadharirishaji!
 
Huko ndiko kutakuwa na ubakaji wa watoto wa kike kwa kiwango cha kutisha na wengi kuambukizwa magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo ukimwi. JKT ni unyanyasaji na upotezaji muda na imeshapitwa na wakati.
Sioni kwanini waliirudisa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mimi suala hili watoto kwenda jeshi wala siliafiki esp watoto wa kike ..
 
Sasa dah?mbona nakosa amani na kuishiwa nguvu na ujasiri kiukweli kbsa?Mungu amlinde mpenzi wangu tu huko na dada zetu wengine.i hate Ccm goverment for sure.
 
Sasa hivi yakifanyika yatajulikana na yataisha kwasababu ya tekinologia ya mawasiliano kupanuka! JKT ni muhimu sana tena hata mgambo ifufuliwe na iwe lazima kwa vijana wote ili tuwe na taifa lenye watu wanaojiamini wenye utaifa ndani yao! Ndio tutaweza hata kupambana na ufisadi na umasikini! Je unajua kwamba mtu akitoka JKT anakua ameongezeka kiwango cha kujiamini? Umeshawahi kuona mtu asiejiamini aliefanikiwa kimaisha? eee, acha woga, kufa kambini ni ajali ya kawaida.

Siungi mkono wabakaji na wadharirishaji!
Mkuu ktk hayo niliyopigia mstari umeniacha hoi. Anyway kila mtu ana mtazamo wake juu ya hili. Binafsi bado nasema siafiki , mbona wengi wamefanikiwa bila kupitia jkt. Unaposema juu ya ufisadi umeshawahi kujiuliza je hao wanaofanya ufisadi hawakupita jkt?
 
Ni uhayawani tu wa hii Serikali dhalimu kutaka kung'ang'ania mambo ambayo hayana positive impact yoyote kwa watoto hao zaidi ya kuhatarisha maisha yao.

Sioni kwanini waliirudisa
 
INNA LILLAH WAINNA ILLAH RAJIUUN!!
Duh!sasa hali mbona inatisha kama ndiyo hivyo? Jana nilimsikiliza baba wa huyo mtoto akilalamika alipokuwa anahojiwa na clouds fm,lakini hakusema kuwa mwanaye kabakwa isipokuwa alisema kwa mujibu wa vyanzo vyake vya ndani (wanafunzi wenzie wa huko kambini) ni kuwa mwanaye alikuwa hajarecover vizuri tokea amalize dozi ya mseto ya malaria na akalazimishwa kuendelea na mazoezi jambo lililopelekea ku-collapse akiwa kwenye parade.Wakampeleka kwenye zahanati ya ndani ya kambi ambayo inasemekana haina vifaa vya kutosha vya kitabibu ndiyo akafia hapo.Lakini yule mzee hakusema kuhusu kubakwa.R.I.P Halima

Mwakani nafikiri Mwanaasha Kikwete anamaliza form six (kama aliendelea na masomo ya advance) kama asipokwenda JKT wananchi tuizike rasmi hii system ya kuwapeleka watoto wetu huko.Huu ni upum.bavu mkubwa sana.
 
Mkuu ulitegemea aseme hayo kwenye vyombo vya habari!??, tayari ameshapoteza mwanawe apoteze na kucha na meno tena!? mi naona bora hajatamka kabisa...
 
Tutalalamika humu weeee baadae kimya mpaka abakwe mwingine tulalamike tena weeee
 
Mimi nasikitika sana kwa dada zetu wa kiislam kwenda j.k.t, kwani dini yetu hairusiwi ni udhalilishaji mkubwa
 
Hii tuhuma ni nzito kama inaukweli vyombo husika vichukue hatua,
ila mleta mada hajafafanua vema yeye alikuwepo jeshini?
make ameishia kusema tu kwamba tundugu zake wa jeshini na huyo binti wanasema alibakwa ndugu zake wepi,
haya mambo ya watu kuandika uongo kwa masilahi wanayoyajua wenyewe ni hatari sana kwa taifa.
 
Mimi nasikitika sana kwa dada zetu wa kiislam kwenda j.k.t, kwani dini yetu hairusiwi ni udhalilishaji mkubwa
Serikali haina dini umeanza kutuletea udini wako mdini mkubwa wewe,jk aliwahi kuwa mwanajeshi yeye dini gani.
 
Mkuu ulitegemea aseme hayo kwenye vyombo vya habari!??, tayari ameshapoteza mwanawe apoteze na kucha na meno tena!? mi naona bora hajatamka kabisa...
Yani na wewe mtu mzima na uzee wote unaongea mambo ya kibavicha kiasi hiki.
 
INNA LILLAH WAINNA ILLAH RAJIUUN!!
Duh!sasa hali mbona inatisha kama ndiyo hivyo? Jana nilimsikiliza baba wa huyo mtoto akilalamika alipokuwa anahojiwa na clouds fm,lakini hakusema kuwa mwanaye kabakwa isipokuwa alisema kwa mujibu wa vyanzo vyake vya ndani (wanafunzi wenzie wa huko kambini) ni kuwa mwanaye alikuwa hajarecover vizuri tokea amalize dozi ya mseto ya malaria na akalazimishwa kuendelea na mazoezi jambo lililopelekea ku-collapse akiwa kwenye parade.Wakampeleka kwenye zahanati ya ndani ya kambi ambayo inasemekana haina vifaa vya kutosha vya kitabibu ndiyo akafia hapo.Lakini yule mzee hakusema kuhusu kubakwa.R.I.P Halima

Mwakani nafikiri Mwanaasha Kikwete anamaliza form six (kama aliendelea na masomo ya advance) kama asipokwenda JKT wananchi tuizike rasmi hii system ya kuwapeleka watoto wetu huko.Huu ni upum.bavu mkubwa sana.
Umeandika mambo mazuri halafu ukamalizia na ujinga ukaharibu mantiki yote uliyoandika.
 
Hakuna kitu kikafanyika bila kutokea upuuz, nakumbuka ancle aliniambia moja ya sababu za kusitisha kupeleka wanafunz jkt ilikua ni maambukiz kwa wanafunz kuongezeka..nilitegemea haya kutokea
 
Naona aibu sana kuwa Mtanzania , iam not proud to be Tanzanian .

umeandika vema sana kuna haja gani ya kujisifia linchi la kipumbavu,lisilo na haki,watawala wanatukanyaga kwa ajiri ya tamaa zao,sasa hivi ukiwa tu na pasport ya tz unaonekana container huku watawala wanasema wanawajua alafu wanaacha tu ,
 
Watu bwana!!! Sasa huyu mleta mada ameongea hapa bila kutoa uthibitisho wowote lakini wengi wetu tunaunga mkono kama vile tuna uhakika wa 100%. Hebu tujifunze kuhoji na kujadili hoja sio kushabikia.

Ushahidi ukimwaga huwa mnachapa lapa kimya kimya.
 
Hii ni moja ya mambo ambayo unaweza kuyafikiria tu na ukaamini yanayokea. Sioni haja ya kulipinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom