nimekwambia wazi ni kombania yangu na walikuwa rafiki zetu so nimeona michubuko na ikatangazwa walivyorudi, mlalakua ni nini iko mjni ila si ina bustani ina michongoma na kumbuka ni usiku zaidi ya saa 6. Hizi kambi sio safe kwa hiki kipindi cha magonjwa yasiyotibika na maadili yaliharibika. Mimi hayakunikuta na hayakuwa common kwani sie kazi tulizoea toka mashuleni itakuwa hawa wa St nini sijui. Naomba mambo ya siasa tuweke pembeni twende na wakati
Wewe utakuwa unajua/unafahamu kuwa Jeshini kuna sheria na wasimamizi wa sheria hizo wapo (Matrons, Wanasheria, MPs, Kamanda wa nidhamu nk nk)......Jeshini kuna discpline ya hali ya juu.......na ili jeshi liwe Jeshi kweli NIDHAMU ni KITU NAMBA MOJA.....hayo maovu yakitokea (sio kubaka/kubakwa....hata ngono kati ya Askari na Kuruta au Kuruta na Kuruta) na yakiripotiwa wahusika hushikishwa adabu.....Askari hufungwa na kufukuzwa kazi.....Kuruta unafungwa na unalipia siku ulizokaa jela pale wenzako watakapokuwa wanaondoka baada ya kumaliza jeshi......
.....binafsi sitetei uozo wa aina yeyote ule.......haya mambo ya kubaka au kubakwa yako sehemu zote.......kuna watu wanabakwa/wanabaka maofisini (serialini na ofisi binafsi), mahospitalini! (au hujawahi kusikia Daktari kabaka mgonjwa), kuna watu wanabaka watoto wao......... na mambo kama hayo........sheria zipo sehemu zote hizo.......lakini sheria pekee hazitoshi.....
.....kinachohitajika kueleweka ni kwamba......sisi kama wazazi tuna jukumu la kuelimisha vijana wetu.....maadili yetu yameshuka sana, vijana siku hizi hawana tena heshima zile tulizukuzwa na wazazi wetu......sisi wazazi wa kile tunajifanya tunawapenda sana watoto wetu na kuwaruhusu kuiga mambo yasiyo faa kwa jamii yetu ya Kitanzania.......kama tunawafundisha tabia njema watoto wetu hata wabakaji na wabakwaji watapungua.......
....issue sio JKT,.......issue ni kuwa how effective elimu imetusaidia ili kuhakikisha mambo maovu kweny jamii zetu hayatokei.....na kuzitumia sheria zetu effective......sisi sote tuna JUKUMU HILO.....kukimbia tatizo si SULUHISHO.......
......vijana walioko boarding schools nako ni hatari tupu, vijana wengi wamejifuna kuvuta bangi na ulevi kupindukia wakiwa boarding school......na huko wanakolewa vijijini wanafanya ufuska wa kupindukia......kuna vitoto vimezaliwa huko vijijini kutokana na kadhia hii ya vijana wa boarding school.......Vijana wetu siku hizi wanabakwa kule beach na pia ngono zinaendelea sana kule baharini......wewe pita kule ukajionee......tena ningekuasa usimruhusu mtoto wako aende beach na sio JKT.....JKT ni salama......
Mimi nina watoto wa Kike na wote nimesha wapa notice kuwa watakwenda JKT.......ninajiamini wako ready kwa mazingira yeyote ya kimaisha na kama ni upuuzi basi itakuwa ni uamuzi wao wenyewe.......and they are very excited......the can't wait.......
.......Mimi (nilikuwa Kambi ya Chita....sijui kama unaifahamu.....na sijui huko ungesemaje), kaka na dada (kuna dada yangu alikuwa ngangari Nachingwea) zangu wote tumepita jeshini na hadi leo tupo safi kabisa tunapigana na maisha.......acheni hizo!......jeshini safi sana.......ni sehemu amabyo ukifuata taratibu zake uta-enjoy sana......
MSIWATISHE VIJANA.......alaah