David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,520
- 8,251
Uku bara wamejazana sana kwenye halmashauri kumamaye huyu mama.
Wabunge wetu mambumbumbu wala hawalioni hili.Wakuu wa mikoa na wilaya wako Tamisemi ambayo siyo moja ya wizara za Muungano, kifupi Tamisemi ndiyo serikali ya Tanganyika lakini wapo wakuu wa mikoa na Wilaya raia wa Zanzibar, hii imekaaje?
Mlizoea vya kunyonga kwa miaka mingi, sasahivi ni vya kuchinja Sheikh wanguView attachment 3632116
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri.
Sina la kusema.
Tulieni hivyo hivyooKupita kiasi. Huu muungano unawafaidhs sana wanasiasa kuliko kawaida. Ukimuuliza mtu wa Chalinze ama Katavi anafaidikaje na Muungano, hutapata jibu la maana, ila ukimuuliza Mpemba anafaidikaje na muungano, utapata sababu kama 100 hivi. Muungano is a scam
Sisi sawa tu wajazane kila kona ya Tanganyika, waibe wanavyotaka sawa tu, wateke , waue watanganyika sawa tu cha msingi tunataka amani basi!!!Uku bara wamejazana sana kwenye halmashauri kumamaye huyu mama.
Sasa kama wanawaua Watanganyika amani inatoka wapi?Sisi sawa tu wajazane kila kona ya Tanganyika, waibe wanavyotaka sawa tu, wateke , waue watanganyika sawa tu cha msingi tunataka amani basi!!!
Kwani huku kwetu mahakamani hao wazenji hawapo. ????Sasa ndugu yangu ushasikia mahkama sisi tuna mahakama 😁
Serikali dhalimu si ndo inataka kuwaaminisha watanganyika kuwa cha msingi ni amani basi. Wizi wa mali ya umma, wazanzibar kuja kufanya kazi Tanganyika etc mambo hayo tukiyaongelea tunavuruga amani ya nchi.Sasa kama wanawaua Watanganyika amani inatoka wapi?
Wapo hadi majaji kama yule wa mahakama kuu kwenye kesi ya mgawanyo wa mali za cdm but kule kwao hakuna hata jaji mmoja kutoka bara! Hivi mwanasheria mkuu siyo wa kutoka huko mchamawima?Kwani huku kwetu mahakamani hao wazenji hawapo. ????
Na wakiwepo utawafanya nini ??
Makamu wa Rsis na Waziri Mkuu wana wajibu wa kuitetea Tanzania Bara.Uku bara wamejazana sana kwenye halmashauri kumamaye huyu mama.
Waulize tissWakuu wa mikoa na wilaya wako Tamisemi ambayo siyo moja ya wizara za Muungano, kifupi Tamisemi ndiyo serikali ya Tanganyika lakini wapo wakuu wa mikoa na Wilaya raia wa Zanzibar, hii imekaaje?
Kauli km hz ni za kipumbavu kabisa..hao unaowataja ni sehem ya huu ujinga, watanganyika wachukue hatua!Makamu wa Rsis na Waziri Mkuu wana wajibu wa kuitetea Tanzania Bara.
TISS hii iliyojaa vilaza wa uvccmWaulize tiss
Watanganyika hawajakubaliana, ila wana CCM tu tena baadhi yao na watumishi wa umma wanaolipwa na kodi zetu, ndiyo wanaoimba wimbo wa muunguno.Serikali dhalimu si ndo inataka kuwaaminisha watanganyika kuwa cha msingi ni amani basi. Wizi wa mali ya umma, wazanzibar kuja kufanya kazi Tanganyika etc mambo hayo tukiyaongelea tunavuruga amani ya nchi.
Na maskini waTanganyika wamekubaliana na serikali dhalimu
Hao hao wanazo sababu, waulize..TISS hii iliyojaa vilaza wa uvccm