Ubaguzi wa "wenzetu"

Ubaguzi wa "wenzetu"

View attachment 3632116
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri.

Sina la kusema.
Hebu Kwanza:
Hoja tatanishi; bila kujali maumivu ya wakati huu na mauchafu yoooote yanayofanyika tukisema "Muungano Unaimarishwa" tutaonekana kama wachawi wa kutisha sana.

Sasa nasema, acha wajifunge wenyewe kwenye huo muungano ambao walikuwa hawaupendi.

Kuna siku hawatakuwa na njia ya kuuweka pembeni kwa namna yoyote ile; na hawatakuwa na uwezo wa kuzuia waTanganyika wasijazane huko kwao.

Kama wao wanaweza kufanya wanavyopenda wenyewe bila ya kizuizi wakati huu; nguvu za kuzuia waTanganyika wafanye watakavyo kesho watairtoa wapi.

Kama nilivyosema, hii ni hoja tatanishi, lakini sioni itashindwa vipi kutimizwa iwapo kutatokea uhitaji wa kufanya hivyo.
 
Wakuu wa mikoa na wilaya wako Tamisemi ambayo siyo moja ya wizara za Muungano, kifupi Tamisemi ndiyo serikali ya Tanganyika lakini wapo wakuu wa mikoa na Wilaya raia wa Zanzibar, hii imekaaje?
Samia pamoja na ukihiyo wake wote, na uovu alionao, naona anaondoa "Muungano", na kuweka nchi moja.

Sasa kwa nini tumlalamikie juu ya hili. Najiuliza sana!

Kwamba miaka yote baada ya yeye hali itaendelea kuwa ni ya uelekeo huo huo wa upande mmoja kufanya wanavyotaka, na upande wa pili kukubali tu kuwa wapokeaji wa maamuzi ya upande wa pili?

Maswala ya maigizo ya kiserikali cha huko pembezoni kinachoitwa "Serikali ya Mapinduzi" kitavunjwa tu na kuweka wakuu wa mkoa na mambo kuendelea kama kawaida.

Wamelelewa wakajisahau kwamba wanajifunga wenyewe kuwa sehemu ya nchi moja.
Hivyo visheria mshenzi vya kuzuia waTanganyika vitatupiliwa pembeni.
 
View attachment 3632116
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri.

Sina la kusema.
Watu wenye akili ndogo kama ninyi mtateseka sana na mambo ya Zanzibar. Ila kwa wenye akili tunawaonea huruma sana. Kwa Uingereza, mtu kutoka England HAWEZI kuajiriwa moja kwa moja Wales au Scotland hata kama ni nchi moja. Lakini mu Welsh au M Scottish anaweza kuajiriwa sehemu yoyote na kwa kazi yoyote England!

Kinachohitajiwa hapa ni kuwa na akili ya kuwa "well informed" with issues!
 
Back
Top Bottom