Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

Ndugu watanzania,

Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu ili tusome. Lakini cha kushanganza sisi wanafunzi wa masomo ya Arti kama Community Development tunanyimwa mikopo ingawa hata wazazi wetu waliotusomesha secondari na diploma wameishafariki dunia.

Je ahadi ya ccm ilikuwa inamaana gani? Je maendeleo yanaletwa na wanascience tu. Hii si haki kwani sote tunamchango katika nchi yetu.

Ombi langu ni kwa serikali kubatilisha mfumo wa ubaguzi katika kutoa mikopo ili waote tupate elimu ya kutusiadia maisha yetu.

Asanteni
. Mdogo wangu, kweli uko sahihi na kilio chako cha haki ya kupata mkopo kama wanafunzi wenzako wa Sayansi. Lakini kwa upande mwingine umelaumu Serikali kwamba imekudanganya mikopo kwa wanafunzi wote na haijatekeleza ahadi zake. Huyo alieahidi ni Rais mteule John Pombe Joseph Magufuli na kwa kumbukumbu zangu hajaapishwa na hajaingia ofisini angalau kuona kama kuna hata hiyo hela ya kulipa watumishi wa serikali mwezi huu ama la. Nawaomba mumpe muda maana si kitu cha kufumba na kufumbua. Inahitaji budget na kama ni hivyo ni mpqka July. Hapo hatuna pa kumlaumu Rais mteule kwa sasa. Pole sana kijana. Wapambe na washabiki wa siasa hawana habari kama Rais hajaapishwa naona.
 
mi nawaza serikali iwapatie wanafunzi wote pesa ya kujikimu ila kwa ada wote wajilipie

maan pesa ya kujikimu ndo changamoto sana kuliko ada.

inategeameana na degree programme unayosoma!

sio zote mtanzania wa kipato cha kawaida atazimudu!
 
Dogo mmekataa elimu bure kwa kuwapigia wapiga Dili kura na kushabikia hapa kazi tu... Ndio kazi imeshaanza ivyo I know it pains tunakoenda elimu ya vyuo itakua sio kwa wote tena bali kwa wenye nazo
Pole sana mdogo wangu
 
Ccm --kwa hili inauzi sana.nilishinda hapa kwenye mtandao napambana halafu leo mikopo hakuna.haikubaliki, haikubaliki na haikubaliki.tanzania ni ya sote kwanini wengine tubaguliwe.cha ajabu hakuna hata mwanaccm humu mtandaoni wakunisupport kulisukuma huli suala kwa magufuri ila wote kimya.

Wewe hopeless kabisa ccm ofisi zao sio jf ziko lumumba😜😜😜
 
inategemea kama kozi aliomba priority,alimaliza.mwaka gani?

Walio pata sahiv ni lot 1 ambao ni watu wa afya na walimu wa sayansi. lot 2 itakua wale wengine ambao coarse zao zilikua na priority. By the way haya ndo matunda ya hapa kazi tu
 
Mkopo nimekosa na chuo nahisi pia nitakiKoso daaah mtoto wa masikini nakosa mkopo mtt wa tajiri anapata 100% sawa bwana
 
Hapa kazi tu.

Ndugu watanzania,

Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu ili tusome. Lakini cha kushanganza sisi wanafunzi wa masomo ya Arti kama Community Development tunanyimwa mikopo ingawa hata wazazi wetu waliotusomesha secondari na diploma wameishafariki dunia.

Je ahadi ya ccm ilikuwa inamaana gani? Je maendeleo yanaletwa na wanascience tu. Hii si haki kwani sote tunamchango katika nchi yetu.

Ombi langu ni kwa serikali kubatilisha mfumo wa ubaguzi katika kutoa mikopo ili waote tupate elimu ya kutusiadia maisha yetu.

Asanteni
 
Ndugu watanzania,

Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu ili tusome. Lakini cha kushanganza sisi wanafunzi wa masomo ya Arti kama Community Development tunanyimwa mikopo ingawa hata wazazi wetu waliotusomesha secondari na diploma wameishafariki dunia.

Je ahadi ya ccm ilikuwa inamaana gani? Je maendeleo yanaletwa na wanascience tu. Hii si haki kwani sote tunamchango katika nchi yetu.

Ombi langu ni kwa serikali kubatilisha mfumo wa ubaguzi katika kutoa mikopo ili waote tupate elimu ya kutusiadia maisha yetu.

Asanteni

Unatokea mkoa gani kati ya hii DODOMA, LINDI,MTWARA,SHINYANGA, GEITA, AU PWANI. maana hao ndio wanastahili kwani ndio waliopigia kura CCM
 
Ndugu watanzania,

Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu ili tusome. Lakini cha kushanganza sisi wanafunzi wa masomo ya Arti kama Community Development tunanyimwa mikopo ingawa hata wazazi wetu waliotusomesha secondari na diploma wameishafariki dunia.

Je ahadi ya ccm ilikuwa inamaana gani? Je maendeleo yanaletwa na wanascience tu. Hii si haki kwani sote tunamchango katika nchi yetu.

Ombi langu ni kwa serikali kubatilisha mfumo wa ubaguzi katika kutoa mikopo ili waote tupate elimu ya kutusiadia maisha yetu.

Asanteni

Hiyo ni trailer, mchezo wenyewe bado, Yaani Mtashangaa sana!! Na tulisema kabla
 
Rais mwanasayansi halafu wewe unasoma arts! Badili gia chuoni. Mmeipenda wenyewe ...
 
Back
Top Bottom