Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

kumbe wametoa kwa science tu du inauma mi nilikuwa sijaelewa kipi kinaendelea nkajua labda na cc wapo kwny process kumbe ndo imepita ivo
 
Ccm --kwa hili inauzi sana.nilishinda hapa kwenye mtandao napambana halafu leo mikopo hakuna.haikubaliki, haikubaliki na haikubaliki.tanzania ni ya sote kwanini wengine tubaguliwe.cha ajabu hakuna hata mwanaccm humu mtandaoni wakunisupport kulisukuma huli suala kwa magufuri ila wote kimya.

Hahaaaaaa, aliyekudanganya Tz ni ya wote ni nani?! Je ingekuwa ni ya wote ungekosa mkopo?!
Ni vyema ukawaomba hao unaowaita wanaccm wenzio wakuchangie uende chuo vinginevyo muda kama huu mwaka 2020 majaaliwa utakuwa umechoka hufai kwa kuisoma namba continuously!!

Open your eyes...!!
 
Poleni wakuu...tuendelee kuisoma namba then baada ya miaka kadhaa tutajua la kufanya

Ahsanye Mungu JF imerudi..
 
nipo edc in mathematics sina loan, tutaisoma namba. hapa kazi tu. na bado.
 
Ccm --kwa hili inauzi sana.nilishinda hapa kwenye mtandao napambana halafu leo mikopo hakuna.haikubaliki, haikubaliki na haikubaliki.tanzania ni ya sote kwanini wengine tubaguliwe.cha ajabu hakuna hata mwanaccm humu mtandaoni wakunisupport kulisukuma huli suala kwa magufuri ila wote kimya.

Na mpigwe tu maana hakuna jinsi! Mlikataa elimu ya bure ya ukawa sasa unalia nini?
 
nipo edc in mathematics sina loan, tutaisoma namba. hapa kazi tu. na bado.

Nilikuwa naangalia sua coz zenye priority wamepata watu . 3 up to 5 mkuu labda kuna second batch but ndio hivyo #hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom