mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 638
Mkopo nimekosa na chuo nahisi pia nitakiKoso daaah mtoto wa masikini nakosa mkopo mtt wa tajiri anapata 100% sawa bwana
Hapa kazi tu
Mkopo nimekosa na chuo nahisi pia nitakiKoso daaah mtoto wa masikini nakosa mkopo mtt wa tajiri anapata 100% sawa bwana
....wasomi mnasemajeeeeee.... tumejipanga mwaka huu watai**ma
Hiyo ni trailer, mchezo wenyewe bado, Yaani Mtashangaa sana!! Na tulisema kabla
wanaolalamika kukosa mkopo mnajua waliopata mkopo ni.wa batch 1 tu..majina mengine bado
Nawatakao apply mwakani mnasemajeeeeeeeeee...''Hahaa waliokosa mikopo mnasemajeeee, tumejipanga mwaka huu wataisomaaa.
^^^Sasa sijui nani anyeisoma hapo...^^^???!???!???!
Nawatakao apply mwakani mnasemajeeeeeeeeee...''
Tumejipanga mwaka huu wataisomaaaaaa...!!!!
Ooh basi vizuri wacha tuinjoi keki ya taifa.... ccm ni ile ile ohh ni ile ile x2
Acha waandamane, na ujinga waoooh....wahanga wa bodi mnasemajeee???!???!???!