Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

Humu watu mnalilia tu pesa inatoka kwa awamu,mpka bodi ikimaliza hakikisha unaplan B kama unategemea deni, NOTE:"Binadamu hashindwi wala hakati tamaa."
 
Inauzi sana,watu tumehangaika kuipigia debe ccm halafu bodi inakuja na ubaguzi wa kutoa mikopo.hii si haki.

kumbe uliihandaikia??sasa huku jf hutapata msaada wowote.wafuate ofisin kwao
 
Inauzi sana,watu tumehangaika kuipigia debe ccm halafu bodi inakuja na ubaguzi wa kutoa mikopo.hii si haki.

2025 usisahau kuipigia tena kampeni ukipata akili utaacha ujinga na huo ni mkopo bado ajila utatembea mpaka sory za viatu ziishe then hao ccm kama watakuona
mbele kw mbele
 
watu wanafurah kusem mbele kwa mbele juen kam si wew mdog wak ndo anaeumia tusicomment kam si wasom bhanaaaa mnavunja moyo kwan ao walokos c ccm pek yao ni vym kutoa udhaur wa busara na uungwan hiv ndo peoplessss walivy
 
Inauzi sana,watu tumehangaika kuipigia debe ccm halafu bodi inakuja na ubaguzi wa kutoa mikopo.hii si haki.

Kawatafte uliowapigia debe sasa..komaa acha lawama kijana
 
watu wanafurah kusem mbele kwa mbele juen kam si wew mdog wak ndo anaeumia tusicomment kam si wasom bhanaaaa mnavunja moyo kwan ao walokos c ccm pek yao ni vym kutoa udhaur wa busara na uungwan hiv ndo peoplessss walivy

hahha sasa waseme nini tena , si ndo zilikua kauli mbiu katika kampeni.

cmm mbele kwa mbele , oooh mtaisoma namba
 
Batch Zinapikwa Na Wote Watapata Mkopo.Hiyo Ilikua Batch One.Inakuja Batch 2 Ambayo Zaidi Ya Wanafunzi 50,000.Mtapata Mkopo.Batch 2 Is Uploading.....Searching&&&synthesizing....Unknown Zone........Please Wait
 
ndio maana watu mikopo wamekosa kumbe ni more tha empty mtu hata hajaapishwa mshaanza kumlaumu
 
Ndugu watanzania,

Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu ili tusome. Lakini cha kushanganza sisi wanafunzi wa masomo ya Arti kama Community Development tunanyimwa mikopo ingawa hata wazazi wetu waliotusomesha secondari na diploma wameishafariki dunia.

Je ahadi ya ccm ilikuwa inamaana gani? Je maendeleo yanaletwa na wanascience tu. Hii si haki kwani sote tunamchango katika nchi yetu.

Ombi langu ni kwa serikali kubatilisha mfumo wa ubaguzi katika kutoa mikopo ili waote tupate elimu ya kutusiadia maisha yetu.

Asanteni

Usijali ndugu yangu kila kitu kitakuwa sawa. Serikali ya Magufuli ipo makini kuhakikisha haki inatendeka kwa wote, wapo wajinga wachache kwenye sekta ya elimu wanaojaribu kuwakatisha tamaa lakini watashughulikiwa na mikopo mtapata wanafunzi wote! Nakuhakikishia kwasababu habari hizi nimezipata kutoka kwa mtu mkubwa serikalini!
 
'Mkataa pema........'.
Mlikataa elimu bure Leo mapema tu mshaanza kuilaani serikali yenu teule na pendwa.
 
Back
Top Bottom