Mr.Teacher
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 450
- 176
Jamani wengine watakua ni ukawa na hawajapata mkopo hivyo tuwaombee tu kwa mungu wapate waweze kufikia malengo yao
Inauzi sana,watu tumehangaika kuipigia debe ccm halafu bodi inakuja na ubaguzi wa kutoa mikopo.hii si haki.
nipo edc in mathematics sina loan, tutaisoma namba. hapa kazi tu. na bado.
Hiv kuna mtu yeyote wa art kapata mkopo??
Ushaisoma namba au bado
chuo gani na..ulipata chuo TCU batch ipi..maana waliopata.mkopo ni batch 1 tu
Mbona Dada yangu alipata chuo batch ya kwanza tena education lakini katika orodha ya majina ya mkopo hayumo
Hamnywi sumu hamjinyongi CCM mbele kwa mbele.
Wameipenda wenyewe,chaguo lao milele acha waisome namba eeeeh ccm mbele kwa mbele?2 in kombas voice
Tumejipanga mwaka huu mtaisoma
inategemea kama kozi aliomba priority,alimaliza.mwaka gani?