Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

Jaman kama kwel watu wanasema mikopo haijatoka,aliyeingia kwnye hzo a/c zao OLAS na kuwaandikia INCOMPLETE/YOU HAVE NOT SECURED LOAN ni nan?
 
Ccm --kwa hili inauzi sana.nilishinda hapa kwenye mtandao napambana halafu leo mikopo hakuna.haikubaliki, haikubaliki na haikubaliki.tanzania ni ya sote kwanini wengine tubaguliwe.cha ajabu hakuna hata mwanaccm humu mtandaoni wakunisupport kulisukuma huli suala kwa magufuri ila wote kimya.
 
Serikali aina pesa na waalimu wa art wanatosha. Muliambiwa elimu itakuwa bure baada ya kuwashawishi watu wa home munakaa. Ukishindwa tafuta alternative nyingine Kuna certificate & diploma
 
Inawezekana unatoka kule ccm wamekosa kura, badili sir name
 
soma science kijana huo ubaguzi wanaofanya ni wa maana sana
 
Mungu yupo mwombe kwa bidii maana ndio tumaini letu sie tumwaminie Baba Mwenyezi
 
Ccm --kwa hili inauzi sana.nilishinda hapa kwenye mtandao napambana halafu leo mikopo hakuna.haikubaliki, haikubaliki na haikubaliki.tanzania ni ya sote kwanini wengine tubaguliwe.cha ajabu hakuna hata mwanaccm humu mtandaoni wakunisupport kulisukuma huli suala kwa magufuri ila wote kimya.

Hapa kazi tu, serikali haina pesa hlf mdhubutu kuandamana muone.
 
Inauzi sana,watu tumehangaika kuipigia debe ccm halafu bodi inakuja na ubaguzi wa kutoa mikopo.hii si haki.

Yaan kumbe ulishabikia Fisiem afu unakuja lalamika hapa.
 
Back
Top Bottom