hahha sasa waseme nini tena , si ndo zilikua kauli mbiu katika kampeni.
cmm mbele kwa mbele , oooh mtaisoma namba
japo nipo science, bado mkopo sijapata. Kwa hiyo mkopo ni kwa wale wa education na afya, na siyo kwa wasayansi wote.
Walio pata sahiv ni lot 1 ambao ni watu wa afya na walimu wa sayansi. lot 2 itakua wale wengine ambao coarse zao zilikua na priority. By the way haya ndo matunda ya hapa kazi tu
Batch Zinapikwa Na Wote Watapata Mkopo.Hiyo Ilikua Batch One.Inakuja Batch 2 Ambayo Zaidi Ya Wanafunzi 50,000.Mtapata Mkopo.Batch 2 Is Uploading.....Searching&&&synthesizing....Unknown Zone........Please Wait
mnachoandka mbona hamna uhakika mm nimechaguliwa education in science mkopo sijapata bado