Ubabe hadi Canada? This time you're done

Umetoka kupiga kura au leo na wewe ratiba yenu ya ibaada itaisha saa 11 jioni?
 
Utawatambua kwa lugha wanazotumia
 
Mkuu kwanini hili deni limetung'ang'ania?
 
P mambo mengine usiwe unatext awamu hii umekuwa mtu hovyo hovyo umejipunguzia credibility yako kwa kiwango kikubwa sijui nini kimekupata usijidhalilishe hivyo wewe ni binadam unaweza ukawa kama hao unaolamba soli zao sasa

Umeanza vizuri dawa ya deni ni kulipa then unatuambia tuwe kitu kimoja how?
Tuwe kitu kimoja tulipe deni au tuendelee kugoma kulipa vya watu ?

Ungewashauri hao unaolamba soli zao walipe deni au wakabatilishe ile hukumu iliyompa uyo mkulima haki yake

Brother usiwe mdanananda unaheshima yako kwenye hii jamii
 
Sasa kwanin msikae na mkaburu mkamalizana kuliko kuweka jeur
 
Understood
 
Oder fanta. I will pay for
 
Mpaka sasa nilicho na uhakika nacho kuhusu wewe,“UNAONGEA USICHOKIAMINI PASCAL”. Hujui dhambi uliyonayo ni kubwa kuliko ya wazi Pascal,“KWA SABABU KWANZA UMEUSARITI MOYO WAKO KWA KUTENDA KILE USICHOKIAMINI, “PILI UMEWASARITI HAWA MASIKINI WALIO WENGI WA NCHI HII,UMEWAACHA WAJIAHANGAIKIE WENYEWE PASCAL,UMEWAACHIA MAUMIVU,JAPO WAO MAUMIVU ULIYOWAACHIA WEWE HAWAYAONI KWA UWAZI,ILA WEWE UNAYAONA,KSBB UNAJUA,ksbb tu ya kitu unachokijua wewe. Haya maneno yataishi moyoni mwako Pascal. Utakuwa ni msumali wa moto kwako kila wakati uyakumbukapo. Japo kwa sasa moyoni unaweza kusema potelea kokote
 
Paskali...
Uzalendo si kutetea uonevu kisa unafanywa na unayempenda au unayejipendekeza kwake.... Kifupi tunadaiwa.. TULIPE...
Kwanza tunadanganywa kuwa kule SA ile kesi tulishinda.. kumbe ni technical mistake iliyofanywa na mkulima... THIS TIME TUNALO WALLAH...
Pili anayetudai tumemtimua nchini... NA AKATUANDIKIA MIBARUA KADHAA KUKUMBUSHIA... LAKINI WAPIII.... Sikio la kufa...
Tatu tunataka kuiaminisha dunia tuwa tumeonewa..!! Kama ulivyosema, dawa ya deni ni kulipa tu... deni halijawahi kuwa na dawa nyingine....
Tutarukaruka kwa maneno na matendo, TULIPE YAISHE.... KWANI AWAMU ZILIZOPITA SI WALIKUWA WANALIPA..!!??? Nini kinafanya awamu hii tusilipe..?? Au tumemaliza deni??

MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…