Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Una point ya kueleza!
 
nenda bruney..hakuna masikini hata mmoja nchi nzima...waaribu na haki sawa wameathika na uislam na ukiristo umeadhirika na ubeparo
 
Huko Kuna kitu kinaitwa,"inclusive economic institutions"zipo hata china.
Kuna kuwa na mfumo kandamizi wa kisiasa kama wa bongo,lakini taasisi za uchumi Zina uhuru,ni shirikishi,kama ilivyo china,china hakuna demokrasia,lakini serikali na mfumo wa kisiasa unasaidia na kutoa msaada kwa watu binafsi na makampuni kama Huawei.
Kwetu hapa wanasiasa hawataki ushindani wa kibiashara kutoka kwa wananchi wa kawaida,ukitaka tender,lazima uonge sana,
 
Waafrika chagueni moja kama ni demokrasia au maisha mazuri ila sio kutaka kuambiana kwamba demokrasia ndio huleta maisha mazuri.
 
Nilikuwa sijafahamu kumbe Afghanistan ni Arabic State!!! kweli TANZANIA wengi tupo kwenye Darkness kama elimu ndogo tu ya kujua Geography ya mahala husika utaweza kutatua changamoto kitika maisha haya tunayo kwenda nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…