Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
Khaaa! niolewe kimya kimya kama wanao olewa na mimba?Huyu sasa kweli nilimsahau muweke kwenye msitari bana au ndo kashakuwa Huby unaniyeyu tu hapa???
Lazima nitakuja kwa shangwe na vigelegele kuomba mchango
But if I was you I wouldn't wait with much expectation,
Mwali sipo huko kwa sasa. AshaDii alipiga akachoka. lol
Last edited by a moderator: