Type ya Husband.................

Type ya Husband.................

Mi naweza kuwa yeyote kwa wakati yofauti na malengo tofauti!
Dena Amsi mamboooo!!!!:whistle::A S 11:
 
Last edited by a moderator:
Huo ni utafiti yakinifu? Hata hivyo utafiti huu umesimamia mabaya kumi ya mwanaume na zuri moja tu!

Nadhani kwa maisha ya sasa wanawake nao wanapesa na mara nyingine kumzidi hata mumewe. Ule utegemezi unaotokea nadhani ni changamoto ya maisha tu.
mkuu upo kitambo sana Idd imekwendaje?
 
Habari zenyuuuuuuu kwa ujumla niliwamisije???

Leo nimekuja na hii mada hapa nimeinyaka mahali fulani (Aina ya Wanaume)

1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele

3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu

4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo

5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje

6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo

7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo

8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe

9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu

10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo

Kwa wanawake wa kwako yuko namba ngapi?

Kwa wanaume uko namba ngapi?

Muwe na asubuhi njema

DA

Copy Asprin, Dark City Mzee wa Rula, Mr Rocky Kimey FP afrodenzi paka Jimmy Arushaone GY Fidel80 Smile Eiyer bk Bigirita Bishanga Teamo Baba_Enock Tall Mwali Nyamayao Preta Michelle Passion Lady
kweli kuna wanaume
 
Wanaume wengi cku hz wana zote isipokuwa namba 10
 
Back
Top Bottom