Type ya Husband.................

Type ya Husband.................

It is too much shemeji, yaani of all, positive ni moja tu? Hata kama umetendwa sio wote bhana!


Sijatendwa na mtu yoyote na wala sina maana ya kuwa wanaume wote wako hivyo sorry
 
wengine hapo ni coctail Dena Amsi
wanakomaje?tunakumis sana bana
uwe unachungulia japo mara moja kwa siku!!
 
Last edited by a moderator:
Bora hiyo numba kumi usinge iweka maana kila mtu ataangukia humo humo!
 
Mmmh mi napita tu Dena Amsi Bado namsoma mume wangu ili nijue anafall wapi hapo
 
Last edited by a moderator:
Hahah Dena Amsi nimekumissije sasa?
Karibu tena ...................Haya mie nimeiona hiyo tu ya Asprin Hubby............... lol
Wapi Da Mkubwa King'asti na Kaunga? Wapi da Mkubwa Kongosho?
Usipombee kukutwa..mbona majanga!!
 
Last edited by a moderator:
Naona kama kuna aina moja ya ma-husband hujaiweka...wale wanaume waliowekwa viganjani na wake zao

hahahahahahahah dena amasi amesahau limbwata husband>
 
Last edited by a moderator:
Acidic husband ndo mpango mzima. Mi nataka niwe hivyo.
 
Mzee DC mzima lakini wewe???

Nilikumisije aisee??

Acha kulalamika kama namba.......

He he he sema basi wewe uko namba ngapi au unafall kwenye nyingi??? Kuanzia 1-9??
Umeanza lini uchokozi DA?

Hebu kwanza tueleze, ulikuwa wapi?


Babu DC!
 
Habari zenyuuuuuuu kwa ujumla niliwamisije???

Leo nimekuja na hii mada hapa nimeinyaka mahali fulani (Aina ya Wanaume)

1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele

3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu

4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo

5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje

6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo

7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo

8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe

9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu

10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo

Kwa wanawake wa kwako yuko namba ngapi?

Kwa wanaume uko namba ngapi?

Muwe na asubuhi njema

10 inanihusu kinomanoma! Ngoja niendelee kulisababisha!......................................
 
Back
Top Bottom