Type ya Husband.................

Type ya Husband.................

Habari zenyuuuuuuu kwa ujumla niliwamisije???

Leo nimekuja na hii mada hapa nimeinyaka mahali fulani (Aina ya Wanaume)

1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele

3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu

4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo

5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje

6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo

7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo

8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe

9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu

10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo

Kwa wanawake wa kwako yuko namba ngapi?

Kwa wanaume uko namba ngapi?

Muwe na asubuhi njema

DA

Copy Asprin, Dark City Mzee wa Rula, Mr Rocky Kimey FP afrodenzi paka Jimmy Arushaone GY Fidel80 Smile Eiyer bk Bigirita Bishanga Teamo

Aina zote ulizozianisha mm nipo
 
Dena Amsi kama sina husband but nina boyfriend
naweza kujaribu kufanya projection atakuaje later?
 
Last edited by a moderator:
Haya, ngoja nimchunguze vizuri nije kujibu.
Lakini tayari nahisi number yake haipo hapo.

Mweeehhh jamani hata namba 10 we Mwali wewe acha hizo haya hiyo unayofikiri share na mimi basi nijue hizo nyingine
 
Last edited by a moderator:
Mweeehhh jamani hata namba 10 we Mwali wewe acha hizo haya hiyo unayofikiri share na mimi basi nijue hizo nyingine
Sijaona ambae yuko very loving an caring but at the same time a workaholic.
akionekana kweli alhamdulilah, unashukuru. but tabu ni kwamba he is just too busy
Because he is workaholic anakuachia uamue on his private matter moja kwa moja
 
Sijaona ambae yuko very loving an caring but at the same time a workaholic.
akionekana kweli alhamdulilah, unashukuru. but tabu ni kwamba he is just too busy
Because he is workaholic anakuachia uamue on his private matter moja kwa moja

Huyu sasa kweli nilimsahau muweke kwenye msitari bana au ndo kashakuwa Huby unaniyeyu tu hapa???
 
habar ake binafsi ni nzuri sana mupenz.....!

kwema mwema???

=/TWENZETU/=

Kwema kabisa sawa naja karibu nafika usiwe na hofu mimi na wewe tena si unajua..............
 
Hivi siku hizi kuna mahusband kweli au they just hit and run..lols
 
Back
Top Bottom