Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
- Thread starter
- #81
Ha ha ha ha MwanajamiiOne acha kabisa nimekumiso ile mbaya nikija lazima tutafutane Asprin sijui yuko wapi
Last edited by a moderator:
Vip Baba Enock mbona waguna tena kulikoni???
Heeee makubwa haya umeanza lini kushusha injili au imekugusa sana?? Sante lakini
Kwa ajili ya kuelekewa vizuri... soma na hii...:
Mume mwema:
1 Timotheo 5:8 "Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa,ameikana imani,
tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini"
1 Petro 3:7 "Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili..."
Mmmhh haya bana