Dah!I wish ningekuwa Kaundula aisee!!!
una nguvu za kuwahudumia?
MUNGU apishe mbali! TUFIAKWA najitemea mate kifuani! hapana my dear, washeee muda ukifika kila mtu awe na maamuzi yake na maisha yake na mume wake na watoto wake na familia yake, niwe hai, au kinondoni MUNGU AWAJALIE HAYO! AMEN!mamie cacico so we hupendi waolewe na mme mmoja na kwanini, make umesema una mfano wa twins kuolewa na mume mmoja. pia umesema twins wako wanashare vitu ving why wasishee na mume?
MUNGU apishe mbali! TUFIAKWA najitemea mate kifuani! hapana my dear, washeee muda ukifika kila mtu awe na maamuzi yake na maisha yake na mume wake na watoto wake na familia yake, niwe hai, au kinondoni MUNGU AWAJALIE HAYO! AMEN!
Mimi ni twin for real. Sipendi na wala sijawahi kupenda kuwa na mwanaume mmoja na twin wangu. Kwanza tulitofautiana kitaste, kila mmmoja ana sifa zake za mwanaume ampendaye. Kiimani hairuhusu.
Ndo hapa sasa ile Beijing iliponiacha hoi kwa madai kuwa haki sawa kwa wote... hata sipingani nao ila nashangaa tu je kama haki ni sawa nimeona mara nyingi mme mmoja anaoa wake wawili au zaidi na anapanga zamu za malazi, bi-mkubwa siku 2, bi-mdogo 3 n.k swali langu hapa kama imeshakuwa haki sawa basi hata wanawake waolewe na waume wawili au zaidi na wapange zamu as men does... "Something wrong here.. watch out"hao identical twins kuna wakiume pia.... nao ni right kuoa mtu mmoja? maana wao pia wanafanana kama wakike
Mbona hii inakubalika katika baadhi ya makabila? Kwa mfano, Wanyakyusa ni ruksa kuoa katika family moja so long as the first wife anaridhia. Wanaita SAKULA
Zamani ilikuwa hivyo si sasa hata sisi tumesimuliwa tu!
haina shida mie kinda kweli lakini hili jambo ni historia sana!Wewe na nani? Mimi nimeshuhudia!! Inaelekea wewe kinda sana
hali zenu wana mmu, mapacha wawili wajulikanao kama grace & gracious wameolewa na mume 1 aitwaye kaundula nchini zambia.
Kwenu wanajamvi je hili suala mnalichukuliaje? Je wewe kama ni twin unameza kukubali wewe na twin wako muolewe na mume mmoja? Pia wewe kama mzazi wa twins (refer. cacico) unaweza kukubali twins wako wakaolewa na mume mmoja. Na wewe kama mwanaume unaweza kuwaoa twins 2 kwa pamoja? Karibuni kwa mjadala. . . .
Source. Daily news - aug 7