Twende Tukapime

Mtu ambae ni muthirika anaetumia ARV anakuwa na undetectable status. Hii ina maana viral load imekuwa cleared by ARV's. Sasa basi mtu huyu anachance ndogo ya kukuambukiza lakini mkipima atakutwa -ve.
Hapo kwenye kipimo kuonesha Negative kwa mgonjwa anayetumia ARVs umepotosha mkuu.


ARVs inafanya viral suppression lakini siyo mpaka undetectable level.

Na vipimo vinapima Antibodies
 
Mwanaume kabla hajapata kila utakachomwambia atakubali kufanya.
Sio kupima ngoma tena ile twende pamoja mguu kwa mguu "chama na mogela" ..mpaka kituo cha kupimia....lazima nikaji verify kwanza ....labda kama nimepima siku chache tu zilizopita...
 
Sema kweli kiongozi, sio kwamba umekosea?
 
Mi najua cku zote najua anaekwambia mkapime huyo anakupenda kinachotakiwa ni kuonyesha tu ushirikiano
 
Hapo kwenye kipimo kuonesha Negative kwa mgonjwa anayetumia ARVs umepotosha mkuu.


ARVs inafanya viral suppression lakini siyo mpaka undetectable level.

Na vipimo vinapima Antibodies
Asante mkuu.
 
Hiyo ni kweli, yaani hata mwanaume akivaa condom kama wanavyoiamini mwanamke lazima aingizwe kwenye mkonga wa taifa.
 
Pro-Russia kwa hii point yako nimekuongezea heshima.
 
Tunashu kuru kwa hilo yangekuwa vingevyo post hii tusingeiona.
 
Asee hata niwe na ugwadu namna gani sijamla jike kihasara. Vipimo ninavyo maghetoni na mimi mara zote huwa mtu wa kwanza ku-initiate kupima.


Life is so sweet asee...[emoji4] [emoji39] [emoji6]
 
Kwani mchepuko haupimwi? Anaweza kuwa mchepuko permanent.

Haina maana ukapime kwaajili ya mtu ambae mkiachana yale mliyofanya yote anaenda yafanya na mkewe. Hakuna mchepuko permanent wewe. Shemeji yangu alifanyaga kosa sana alinogewa na mchepuko akaununulia nyumba, anashangaa baada ya kuachwa amepigwa stop asikanyage. Machozi yalimtoka mwanaume.
 
Sawa. .
 

Hmm.....is that so...?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…