For the three months you are with her kama amekutana na mtu mwingine basi bahati si yako. Na hata kama amekutana na mtu mwingine itachukua wiki 12 kwa virus kuonekana kwenye damu. Kama sio mwaminifu unangoja nini hapo?
Tell me about it?
Kwani haijawahi tokea ukafanya bila kinga?
Take the precautions and leave the rest to God. Kama uko kwenye ndoa na bado mwenza anachepuka bila wewe kujua is another case, lakini kama mtu hamjuani unaanza kumtrust hiyo pia ni case nyingine tofauti.Na wengine hujiaminisha kuwa wapo wenyewe, kumbe wenzi wao wakitoka hukutana na wengine na sio mara zote hutumia kinga. So kupima wakat mwingine hakuna maana kama ulie nae hajatulia
kupima ni kujipa matumaini tu kisaikolojia,ila haina maana yeyote ileila nadhani kupima siku moja na kwenda kavu sio kipimo
tuulizane mtu kupata hiv na kuonekana kwenye damu inakuwa muda gani?
mfano ukute hyo mtu alilala na mwenye hiv jana yake au one week before hiv itaonekana kweli?
Kama umeathirika utaanza dawa na utakokoa maisha yako mkuu.kupima ni kujipa matumaini tu kisaikolojia,ila haina maana yeyote ile
huyo unaepima nae anakuwa amesex kavukavu wiki iliyopita,vipimo haviwezi kusaidia mpaka msimame wote kusex kwa miezi 3 ndo mpime,Kama umeathirika utaanza dawa na utakokoa maisha yako mkuu.
Ubarikiwe na uishi na baraka zake yeye aliyekuumba. Tumeuguza wagonjwa wakati ARV's hazijawa bora kama zilivyo sasa, wakiwa ndugu zetu wa damu. Tunajua madhara yake, kwa sasa hivi hata aje handsome man kiasi gani kama hatujapima kavu hajanipata.huyo unaepima nae anakuwa amesex kavukavu wiki iliyopita,vipimo haviwezi kusaidia mpaka msimame wote kusex kwa miezi 3 ndo mpime,
sasa sijui mtachungana vipi.
Sijawahi amini vidonge vile huwa vinasaidia,labda ni kwasababu sijawahi kuona mgonjwa wa ukimwi
Kama umeathirika utaanza dawa na utakokoa maisha yako mkuu.
Lakini kwasababu Afrika bado tuna nyanyapaa wagonjwa wa UKIMWI ndio sababu watu hawajawa free kudeclear in public na kulinda wenzao ambao hawajapata maambukizi.UKIMWI siku hizi ni kama mafua tu. Watu kibao wanao na hawafi. Wanaishi maisha marefu tu. Tena wengine wanazaa kabisa na watoto wanakuwa wenye afya nzuri kabisa.
Huo upungufu wa kinga mwilini siku hizi si hukumu ya kifo kama zamani.
Word Mkuu.Kwa wazinz hili ni jambo gumu sana sawa sawa na muuza bangi kwenda polisi ila kwa watakatifu ni neema sana sbb itakuweka ktk penz salama. Ukimuona mtu wako anajizungusha kwenda kupima huyo ni muathirika au ni mzinz. Haiwezekan jambo dogo km hili hataki. Hapo kimbia tu hana mpango na ww kafuata papuch au mgegedo. Ila watu weng siku hiz hawapimi wanaamin condom km mungu mdogo wao. Mkapime achen kudanganya
HIV KILLS
Window period.Kama alifanya ngono zembe jana yake inachuka miezi mitatu kwa virus kuonekana kwenye damu pia hawatakuwa wamejiestablish vyema kwenye mwili kiasi cha wewe kupata maambukizi.
Check status aya mwenzi wako, kama hana umesevu(not 100%), kama anao na uiligegegda kavu. Tafuta PEP faster(Recommended within 3 days)nimekosea mkuu? maana kasema kipimo kinapima in three month time? je ndani ya mwezi itakuaje?
Very TRu, ndio maana B na C za ABC hufanyakazi haswa.Sio kila sehem utakuwa nae. Kwani wangap wanachepuka na wako kwenye ndoa bila wenzi wao kujua.? Na sio wote hukumbuka kinga. Na hapo ndo tatizo linapoanzia
Mkuu bora akauambie tukapime....ilishanitokea kwa binti Nurse.....kabeba vipimo vyake vile fastafasta toka ofisini.....ghafla tu katikati ya stori gheto ananiambia...itabidi tupime hiv kabla ya yote ..mi nikajibu fasta powaa tu ...ma confidence 100% ....akasema unaonaje tukipima sasa hivi....nikamuuliza kivipi....akajibu vipimo ninavyo hapa......aiseee nilikuwa mdogo ..jasho, haja kubwa na ndogo zikaja kwa ghafla...tumbo sio kuunguruma huko.....akadaka mkono ...akachukua sample.....mi nahemia juujuu...bahati majibu yalikuwa powaaaa......I see..
Very TRu, ndio maana B na C za ABC hufanyakazi haswa.