Twende Tukapime

Mmh wengi ni kutimiza vigezo na masharti ya mwanzoni tu lakini hakuna kitu aisee, watu wenyewe hawa uaminifu zero, mnapima halafu bado mna side dishes kibao, hiyo network utaipima yote kweli?

Chukua tano mwana....
 
Hao madada wenyewe wanajiamini? Boy friend wa huyu kesho ametoka na yule mbona tunapakana tu mjini hapa. Usidanganyike na hiyo hali ya kupima wengine wanakua na undetectable status, usiache kuvaa gwanda mpaka umfahamu vizuri.
Sijawahi kuuamini mpira, labda kwenye kuzuia mimba tu.
 
Kwenye kuzuia mimba? Kwani huwa haupasuki?
Achana na kupasuka, kwenye suala la HIV hata isipopasuka condom aiaminiki, au kuna mtu anayeweza kuambiwa avae condom halafu afanya mapenzi na mwanamke mrembo sana ila ni muathirika na akakubali? Wengi wanaotumia condom hawana hakika wala hawajui status za wenza wao.
 
Kwa wazinz hili ni jambo gumu sana sawa sawa na muuza bangi kwenda polisi ila kwa watakatifu ni neema sana sbb itakuweka ktk penz salama. Ukimuona mtu wako anajizungusha kwenda kupima huyo ni muathirika au ni mzinz. Haiwezekan jambo dogo km hili hataki. Hapo kimbia tu hana mpango na ww kafuata papuch au mgegedo. Ila watu weng siku hiz hawapimi wanaamin condom km mungu mdogo wao. Mkapime achen kudanganya
HIV KILLS
 
nimekosea mkuu? maana kasema kipimo kinapima in three month time? je ndani ya mwezi itakuaje?
Hujakosea, sema nimesoma maswali yako yote ndo nikajikuta nimeshangaa hivo, teh!
 
Wanadai zile zenye maji ukiziandaa vizuri ni ngumu kupata maambukizi hata kama yapo tofauti na wale akina mnato.

Hii inadhihirika mara nyingi pale ambapo wapenzi wa muda mrefu wanaenda kupima, unakuta mwanamke kaukwaa na mwanaume yuko swafi na kibamia chake.
 
Hujakosea, sema nimesoma maswali yako yote ndo nikajikuta nimeshangaa hivo, teh!
nadhani elimu ya kupima bado sana bongo maana watu wakipima leo wakikupa fresh wanadoo leo leo bila kuchek historia .elimu bado hata mimi sielewi
 
Baada ya wiki mbili vijidudu vinaonekana?

Vidudu vinaonekana baada ya miezi mitatu. 12 weeks. Kwasababu mpaka HIV virus wafanye registration mwilini mwako na wakubaliwe kujiestablish ni shughuli pevu.
 
Nyuma ya keyboard watu wengi huwa ni wema sana. Watu wengi hupima. Na blah blah zingine kibao.

Lakini uhalisia tunaouona huku uraiani hauakisi maneno ya watu walio anonymous nyuma ya keyboard.
Nilitaka niseme hivi hivi, humu leo kila mtu anapima mara kabla ya ku-do anataka wapime...SMH....Mimi ukiniambia tukapime nakuachia papuchi yako,kama huniamini tutumie kinga, btw hata tukipima bado nitatumia kinga kwasababu sijui ukiachana na mimi unaenda wapi.

Nitapima siku nikishauriwa na daktari, labda naumwa umwa hivi etc, lakini nipime kwa sababu kuna mtu ameweka kigezo cha kutoa papuchi....NEHI.
 
Mtu ambae ni muthirika anaetumia ARV anakuwa na undetectable status. Hii ina maana viral load imekuwa cleared by ARV's. Sasa basi mtu huyu anachance ndogo ya kukuambukiza lakini mkipima atakutwa -ve.

hapo umekosea hata akiwa na undetectable status kwa maana ya undetectable viral load bado rapid tests zinapima antibodies to HIV so so utaonekana na maambukizi
 
Utajuaje kama hajakutana na mtu mwingine?
 
Naona ni mungu tu anatuepusha eti. Maana kuna wengi walikuwa makini sana na wameukwaa
 
Utajuaje kama hajakutana na mtu mwingine?
For the three months you are with her kama amekutana na mtu mwingine basi bahati si yako. Na hata kama amekutana na mtu mwingine itachukua wiki 12 kwa virus kuonekana kwenye damu. Kama sio mwaminifu unangoja nini hapo?
 
Naona ni mungu tu anatuepusha eti. Maana kuna wengi walikuwa makini sana na wameukwaa

Tell me about it? Nilikwenda seminar ya UKIMWI niliporudi mwaka mzima sikuwa na genye. Walitueleza jinsi ilivyo rahisi kwa mwanamke kuambukizwa kama mwanaume ni +ve. Mkiwa mna do zile sperms zote zinazokumwagikia kama ni +ve, he kindly shares it with you. Lakini mwanamke +ve still ni ngumu kumuambukiza mwanaume unless kuwe na michubuko.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…