Twende Tukapime

Mbona cjakuelewa upo kundi lipi Mkuu??
kwenda kupima inategemea,kama nilipima peke yangu hv karibuni na sijagegedana(nina uhakika nipo negative) ntaenda kupima tena na huyo aliyeniambia tukapime.lakini kama sijapima recently na nishapitapita kwingi,hapo lazima nikapime kwanza peke yangu nione majibu yangu,kama negative tutaenda (hapo najua niko poa nasubir yako) nikikutwa positive ntakataa kwenda kupima tena pamoja na huyo anayetaka tukapime.point yangu ni kwamba siwez pima na mtu kabla sijahakikisha kuwa mimi niko negative sijui umenipata?
 
OK.. Nimekuelewa.. Be happy
 
Wana vifaa vya kisasa zaidi. Pia rafiki yangu aliniambia walikwenda kupima Muhimbili kumbe jamaa alishajijua ni +ve. Alitangulia a day b4 akaweka pesa ya chai. Walipofika kesho yake unajua kilichoendelea.
Ukisema vifaa unakosea pakubwa sana labda ungetuaminisha kwa kusema wana wataalamu waliokula yamini ktk
masuala hayo maana kipimo ni kimoja
 
Wawili walishanambia hivyo nikawa nawavutia speed tu, mwisho wa siku kaja hom nikagegeda kiulainiiiii bila hata ndom. Hawa huwa wanataka kuona hilo jambo utalipokeaje! Huwa hawamaanishi!
 
Mi mwenzenu nishapima. Na nyie ambao hamjapimwa nendeni mkapimwe muishi.

 
Hukumuuliza anamaanisha nini?
 
Ni
Kikwazo hiki cha kupima kinakuwa kitamu pale jana yake tu ulishapima na kuambiwa ''Non reactive''hivyo akitamka umwambie twende sasa hivi na majibu umwambie yake uchukue wewe na yako mpe yeye
 
Kupima hakuna uzoefu mkuu. Mambo ya kuloweka ndio yanaleta hizo presha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…