Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo.
Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano iliyopita.
Ni siku ya kuchagua mtu anayefaa kuliongoza Taifa, Mtu mwenye uzoefu, Mzalendo na mwenye uchungu na maendeleo ya Nchi yetu.
Puuzeni watu wanaosema nmejiondoa kwenye kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano. Twendeni mkanipigie kura mimi Membe Bernard Kamillius ambaye nmekidhi vigezo vyote. Nipigieni kura tuwe na Serikali ya Kazi na Bata.
Mimi nitafunga Kampeni yangu tarehe 27/10/2020 kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Mkoani Lindi.
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
Leo tarehe 17 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu na Mwanachama wa ACT Wazalendo Ndugu Bernard Membe atazungumza na waandishi wa habari. Ukumbi: Ofisi ya ACT Wazalendo Magomeni, Dar es salaam. Muda: Saa 8.00 Mchana. Waandishi wote mnakaribishwa. Janeth Rithe, Naibu Katibu wa Habari...
Huyu Mheshimiwa anaenda kupunguza kura za CCM na sio za CHADEMA au ACT-WAZALENDO. Anawapa fursa wale waliokuwa kwenye Chama chake cha awali kukinyima kura chama chao bila kuwapigia CHADEMA.
Mh Membe, karibu tena CCM.. Mara baada ya JPM kuapishwa kwa muhula wa pili, tutakuombea ka kazi kadogo kadogo ili uweze kushiriki kuijenga Tanzania ya kisasa!