Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

Jasusi mbobezi. Pamoja sana
Hapo hakuna Mgombea isipokuwa mvurugaji tu.

Unakumbuka siku wanazindua Ilani ya Uchaguzi ya Chama Chao, Lissu kuna maneno alikuwa anasema kumuhusu Membe, kama kweli ameingia kwenye upinzani Serious ama laa.

Nikaona Membe akabaki mpole Kama ilivyokuwa Kwa Petro alipokuwa anaulizwa na Masihi kwamba atamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
 
..."dakika ya 89 mchezaji atatoka benchi na kupiga goli la ushindi jambo ambalo litawashangaza wengi....".by Benard Kamilius Membe
Nakuona unapasha tayari umevaa jezi yako kaka yangu!
 
Membe, wanadai wewe umetumwa na CCM kuja kugawa kura za upinzani. Je, kilichokuondoa CCM ni nini? Na humuwezi Lissu ki ukweli.

Kosa lako ulilofanya ni kumdharau mwenyekiti wako, ilitakiwa kukaa kimya washangae tu umechukua fomu.
ZITTO na CCM ndiyo walifanya mipango ya kumleta Membe ili agawe Kura za CHADEMA.
 
Back
Top Bottom