Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

Mzee Membe huku kuna watu wenye akili zilizo huru sio zinazo ongozwa kutokea Lumumba hupawezi huku vijana wako walumumba wenye hukaa huku kwenye mijadala baada ya kulewa ushauri wa bure kaheshima kidogo sana ulicho baki nacho kifiche huku muda sio mrefu tuta kupokonya!

Kapumzike nyumbani Watanzania waleo sio wajana msijidanganye badilikeni kabla hamja badilishwa siku moja na Watanzania
 
Back
Top Bottom