Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

Seif, Kabwe na Membe mnatuchanganya bhana!😡
 

Attachments

  • 3D48728E-43F9-49C0-8F95-ECC5E3A2635B.jpeg
    3D48728E-43F9-49C0-8F95-ECC5E3A2635B.jpeg
    26 KB · Views: 3
Yeye atuambie goli la dakika ya 89 ni la Aina gani. Na anatuaminishaje kuwa yeye ni Mgombea mwenye nia ya kuongoza nchi kwa miaka mitano Hali ya kuwa hajawahi kufanya kampeni?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bernad Membe mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT kesho anatarajia kufunga kampeni katika mkoa wa Lindi?

Hawa kina Bernard mwaka 2020 wamekuwa wana shida sana .

Bernad Membe- ndo hivyo tena anataka afunge ambacho hajawahi kukifanya

Bernad Morrison-kila mtu anajua shida yake

Bernad Paul (Ben pol)-na yeye kamsaliti yesu kisa pesa kidogo

Kina Bernard mna nini lakini?
 
We acha kutuzingua we si umeandika barua ya kujitoa, ili kumuunga mkono Lissu?

Acha undumila kuwili bro.
 
Dah, ahya bhana kila la kheri mkuu! may be hii inaweza kuwa last chance kwa wapinzani kujifunza. Sidhani kama kuna wakati mwingine tena
 
Tangu kampeini zianze sijawahi kusmikia Membe akipiga kampeini isipokuwa Lindi tu.
 
Ulilenga kuja kugawa kura za upinzani. Mzee umechoja umechakaaa. Tulikushtukia. Sas hata kura 1000 hupati nchi nzima utagawa kura zipi?
 
Back
Top Bottom